Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

Changamoto za wanaume hazinaga wanaharakati jamaa apambane mwenyewe kiume tu,Mungu atamsaidia.

Sasa pata picha hii issues ingekuwa ina muhusu mwanamke, mda kama huu tayari NGO kama mia tayari washamwekea wanasheria, bado kuna wanasiasa wanajipatia umarufu hapo hapo.
 
Kabisa sio mwanaume amepoa poa mwanaume awe na kaubabe sio kuosha osha vyombo kama mwali 😂😂
Hapo ndipo wajuba tunapita na point 3. Siwezi kuosha vyombo kichoko utakula mbata hizo hutaamini. 😀
 
Huyo mwanaume alilishwa libwata. Ila hata kama ni libwata huyo mwanamke asingemtesa hivo huyo mwanaume khaaah?

Yaani adeki , aoshe vyombo, amfulie na aleee watoto na bado umnyime unyumba jamani?
Si amechagua kuwa jentromeni 🤣 thats the price you pay to be a jentromeni in bongo tz
 
Wanawake wengi wanaonewa na wanaume ila akibahatika mmoja wa kuonea mwanaume anafanya hadi analipia wanawake wengine 1000 wasio na ujanja wa kumuinamisha mwanaume
🤣 Huyo mzee ni boya mmoja. Mie kunifanya hivyo labda uniroge kwanza
 
Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba waliokuwa wakiishi iuzwe wagawane mali.

Majirani wamesema mwanaume huyo alikuwa akimpenda mkewe hadi kufikia hatua ya kumfulia nguo zake, kupiga deki, kuchota maji, kupeleka watoto kliniki, kumfungulia maduka manne sambamba na kumpa gari lakini haikuwa dawa kwake hatimaye ameamua kumwacha.

Mwanaume huyo anaomba msaada asaidiwe.

View attachment 2524869

------
Mwanaume pichani anaomba msaada baada ya mateso makali aliyopitia kwenye ndoa yake ikiwemo kunyimwa unyumba kwa miaka saba mbali ya mapenzi makubwa aliyompatia mke wake ikiwemo kudeki nyumba, kumfulia nguo, kumfungulia maduka pamoja na kumnunulia gari.

Pia anadai yeye ndio aliyekuwa anawapeleka wanae klinik pindi walipokuwa wadogo.

Cha kushangaza mbali na mapenzi yote aliyomuonesha Anadai mkewe ameibuka mahakamani kuomba talaka na mahakama imeamua nyumba iuzwe wagawane mali bila kujali kwqmba nyumba hiyo ni mali ya watoto.

Bwana said anaomba msaada nyumba Ibaki isiuzwe kwakuwa watoto watakosa mahala pa kuishi.

Wakataa ndoa nawaona leo wanavyojishindia points

Ila jaman mwanaume wa kufanya yote hayo anakeraaa. Mwanaume usilegee sana kwa mwanamke... hadi kudeki??? Hapana. Wa hivyo anaboa.
Mwanamke ni sawa na mtoto, kumdekeza kupitiliza ni kumuharibu.
 
Fala sana. Sasa unapiga deki, unaosha vyombo, unapeleka na watoto clinic hapo uanaume wako upo wapi? Hakuna mwanamke anayejitambua atakaa na wewe hata iweje hayo sio mapenzi ni maigizo ya mapenzi.

Mwanamke anayejitambua atakwambia kuwa wewe umeacha nafasi yako sasa unaingia nafasi yake, yeye alikuwa anahitaji mwanaume wa kumpelekesha na haya maisha sio mwanaume ambaye anakaa nae kimaigizo kama ndezi. View attachment 2525843
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 SIMP medal awarded to him. Huo ujinga sijui mwanamke wangu ataanzia wapi maana
 
Miaka 7 yote huku nje janamke tunalipanua tu pwaaaaaaaaa.....!!! Janaume lipo tu kama jinga.
 
Back
Top Bottom