Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba waliokuwa wakiishi iuzwe wagawane mali.

Majirani wamesema mwanaume huyo alikuwa akimpenda mkewe hadi kufikia hatua ya kumfulia nguo zake, kupiga deki, kuchota maji, kupeleka watoto kliniki, kumfungulia maduka manne sambamba na kumpa gari lakini haikuwa dawa kwake hatimaye ameamua kumwacha.

Mwanaume huyo anaomba msaada asaidiwe.

View attachment 2524869

------
Mwanaume pichani anaomba msaada baada ya mateso makali aliyopitia kwenye ndoa yake ikiwemo kunyimwa unyumba kwa miaka saba mbali ya mapenzi makubwa aliyompatia mke wake ikiwemo kudeki nyumba, kumfulia nguo, kumfungulia maduka pamoja na kumnunulia gari.

Pia anadai yeye ndio aliyekuwa anawapeleka wanae klinik pindi walipokuwa wadogo.

Cha kushangaza mbali na mapenzi yote aliyomuonesha Anadai mkewe ameibuka mahakamani kuomba talaka na mahakama imeamua nyumba iuzwe wagawane mali bila kujali kwqmba nyumba hiyo ni mali ya watoto.

Bwana said anaomba msaada nyumba Ibaki isiuzwe kwakuwa watoto watakosa mahala pa kuishi.

Wakataa ndoa nawaona leo wanavyojishindia points

Ila jaman mwanaume wa kufanya yote hayo anakeraaa. Mwanaume usilegee sana kwa mwanamke... hadi kudeki??? Hapana. Wa hivyo anaboa.
Wew shogaa Tanga mazing zong mengi sana ...wanawake washirikina balaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mpka akili ziwakae sawa mtakuwa mshachelewa
#Kataandoa
Ndoa ni utapeli
Ndoa ni wizi mtupu
Ndoa ni unyonyaji
Mwanaume ukitaka kufa mapema oa
 
Fala sana. Sasa unapiga deki, unaosha vyombo, unapeleka na watoto clinic hapo uanaume wako upo wapi? Hakuna mwanamke anayejitambua atakaa na wewe hata iweje hayo sio mapenzi ni maigizo ya mapenzi.

Mwanamke anayejitambua atakwambia kuwa wewe umeacha nafasi yako sasa unaingia nafasi yake, yeye alikuwa anahitaji mwanaume wa kumpelekesha na haya maisha sio mwanaume ambaye anakaa nae kimaigizo kama ndezi.
IMG_20230220_171010.jpg
 
Aibu hii kwenye ukoo wake na familia yake kwa ujumla...Halafu huyo mwanamke kwenye hali halisi tu kabla ya kumchukua vipimo ni tahira kabisa...Hivi alishikwa uchungu kweli wakati wa kujifungua huyo...

Wanawake mmekua na tamaa sana yani mnatapatapa kama mfamaji...Nguvu ya usawa ndani mnaitaka,Nguvu ya pesa ndani mnataka,Tamaa za mali zimewajaa tele,Roho za unyanyasaji zimejaa vifuani mwenu,Ukatili mnaongoza....

Wanawake sio viumbe sahihi hata kidogo kuwawekea dhamana kwenye suala lolote lile kwani kukubadilikia ni mdaa wowote ule..
Ndio maana TALEBAN wanafanya yao halafu wanaonekana wanyanyasaji kumbe hivi vitu vimekaa kimfumo sana. TALEBAN wanajua the moment unaanza kuwa na mifumo inayompa nafasi mwanamke ya kujichanganya na kuacha majukumu yake ya kike na ya familia ndipo na yeye anaanza kufanya kila aina ya upuuzi ambao unakuja kuidhuru tena jamii ile ile ambayo na yeye anaishi na lawama zitamrejea mwanaume kwa kutosimamia mamlaka yake vema.

Hizi haki sawa wanaume ndio walizisimamia kidete na kuvalia kibwebwe leo hawa masikio kuziba wanasumbua wanaume ambao hata hatukushiriki hizo kampeni zao za kipuuzi.

So ni wakti sasa wanaume wenzangu kwanza kuzidhoofisha hizi influence za kimagharibi zote kwa maana ya miziki, filamu, habari, vitabu mafunzo na upuuzi mwingine, halafu mwanamke sasa aanze kuwekewa masharti makali sana ikiwamo hili la elimu naona haijawa msaada kabisa imekuwa tena kiama cha jamii, tulikubaliana ukimuelimisha mwanamke umeikomboa jamii ila mnajionea kwasasa, kumuelimisha mtoto wa kike ni kuingamiza jamii maana inamtoa nyumbani na kumfanya achukie majukumu ya mke na kuanza kupenda maisha ya uhuru wa kutangatanga huko nje akilala na kila mwanaume anaemtaka na kumtongoza na kuzaa na wanaume hovyo huku akibambikia mume mimba haramu.

Hebu tufanye mpango TALEBAN wafungue tawi hapa Tanzania kazi ianze. Naona kule naijeria Boko Haram waliteka wale mabinti nikawa sielewi sasa naanza kuelewa.
IMG_20230111_131339.jpg
 
Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba waliokuwa wakiishi iuzwe wagawane mali.

Majirani wamesema mwanaume huyo alikuwa akimpenda mkewe hadi kufikia hatua ya kumfulia nguo zake, kupiga deki, kuchota maji, kupeleka watoto kliniki, kumfungulia maduka manne sambamba na kumpa gari lakini haikuwa dawa kwake hatimaye ameamua kumwacha.

Mwanaume huyo anaomba msaada asaidiwe.

View attachment 2524869

------
Mwanaume pichani anaomba msaada baada ya mateso makali aliyopitia kwenye ndoa yake ikiwemo kunyimwa unyumba kwa miaka saba mbali ya mapenzi makubwa aliyompatia mke wake ikiwemo kudeki nyumba, kumfulia nguo, kumfungulia maduka pamoja na kumnunulia gari.

Pia anadai yeye ndio aliyekuwa anawapeleka wanae klinik pindi walipokuwa wadogo.

Cha kushangaza mbali na mapenzi yote aliyomuonesha Anadai mkewe ameibuka mahakamani kuomba talaka na mahakama imeamua nyumba iuzwe wagawane mali bila kujali kwqmba nyumba hiyo ni mali ya watoto.

Bwana said anaomba msaada nyumba Ibaki isiuzwe kwakuwa watoto watakosa mahala pa kuishi.

Wakataa ndoa nawaona leo wanavyojishindia points

Ila jaman mwanaume wa kufanya yote hayo anakeraaa. Mwanaume usilegee sana kwa mwanamke... hadi kudeki??? Hapana. Wa hivyo anaboa.
Story km hizi zimekaa kizushi, uwongo mwingi, nikiangalia hata mwonekano wa huyo bwana ni mtu wa kumfungulia mwanamke maduka 4? ye ana maduka mangapi, ana magari mangapi amebakiwa nayo km kweli amemnunulia mke wake gari. Mtu una maduka manne unafua nguo? unachota maji? unadeki nyumba? Tuwe serious tumevamiwa JF na watu wasiojulikana.
 
Hivi wazee wa Tanga unawajua kwelii??
Na majirani ndo wamesema kwamba mzee kafanya yote hayo.
Tena kama hujui kabla hujaponda wenzio eti wameingilia jf hiyo habari imeripotiwa na vyombo vya habari na Jf wameihakiki ndio maana unaona imefanyiwa editing
Uwe unafanya research zako vizuri
 
Mshaambiwa, oeni ila msifunge ndoa, ona huyu kanyimwa unyumba kwa miaka 7 ila kavumilia ili asije kuporwa nyumba yake na Mahakama; mwanamke kaona jamaa haachii tu ngazi, kaenda kudai talaka na anataka apewe nyumba ili alete kibenten chake ndani, ndio mkome! Video chini inamaelezo zaidi.

====

Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba waliokuwa wakiishi iuzwe wagawane mali.

Majirani wamesema mwanaume huyo alikuwa akimpenda mkewe hadi kufikia hatua ya kumfulia nguo zake, kupiga deki, kuchota maji, kupeleka watoto kliniki, kumfungulia maduka manne sambamba na kumpa gari lakini haikuwa dawa kwake hatimaye ameamua kumwacha.

Mwanaume huyo anaomba msaada asaidiwe.

Clouds TV
 
Cha kushangaza mbali na mapenzi yote aliyomuonesha Anadai mkewe ameibuka mahakamani kuomba talaka na mahakama imeamua nyumba iuzwe wagawane mali bila kujali kwqmba nyumba hiyo ni mali ya watoto.
Alafu tukiwaambia Sheria ya NDOA ni ya kiduanzi ni sheria Mbovu Mbovu Mbovu kuwahi kutokea ni Sheria inayomkandamiza mwanaume na kumuwezesha mwanamke, watu wanakaza shingo visabengo wanakunja ndita, by the way sitaki kuongea sana

KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
SHERIA YA NDOA NI MBOVU
 
Back
Top Bottom