Tangu asubuhi sijauza hata Tsh. 100 aisee

Nakupa mfano possible tofauti na biashara yake but angalia hili.
Sehemu nilipo kuna mtu anauza vitafunio,mtu aliekua anakaanga akaondoka so mapishi yakabadilika nakua tofauti na mwanzo wateja wakaanza hama mmoja mmoja mwisho biashara ikaanza doda,chapati zinakutana na chakula cha mchana.
So angalia vitu vidogo sana ambavyo ulikua unafanya na kukuwezesha kupata faida,possible mdomo or bizaa wenzio wamebadilika kwakupenda vitu vingine or hata jinsi ulivyokua unawajibu wateja.
Pia inawezekana kuna mtu umemtoa aliekua na mvuto wa biashara ww ukamtoa.
Usiache angalia mienendo yako pia
 
Pole sana mkuu kwenye ulimwengu wa biashara inabidi uchague either Ulimwengu wa Nuru au giza, biashara Zina mambo mazito nyuma ya pazia
 
.njoo in box tuhojiane kidogo halafu tusaidiane bureee
 
Hardware ya vifaa vidogo vidogo
Mkuu pole sana,
Hardware yako ina mtaji kiasi gani?

Trend inabadilika sana siku hizi, watu wanaingia maduka yenye kila kitu, hizo hardware ndio kabisa mtu anataka akiingia dukani amalizane kila kitu humo.

Kingine, siku hizi wenye hardware wanajiongeza sana, wanafanya delivery ya materials, wenye mitaji midogo wanapata shida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…