Hakuna kitu popote pale.
Red brigade ya CHADEMA ndio imetuhumiwa na wanachama wenzao kuwa na overt na covert operations. Yaani wana makando kando.
Haya matukio ya utekaji na "unyanga'nyi'π ni matokeo ya mazingira machafu ya kisiasa wanayoyajenga/tengeneza. Full fabrication.
Hebu CHADEMA muutuuzie sera, na sio kutufanya Watanzania kucha kuwa ni mazuzu na kutuuzia huu uwongo kuhusu Makonda.