Tangu makonda arudi kwenye nafasi za kisiasa matukio ya utekaji na unyang'anyi yameongezeka! Je Kuna nini hapo?

Tangu makonda arudi kwenye nafasi za kisiasa matukio ya utekaji na unyang'anyi yameongezeka! Je Kuna nini hapo?

Huu ndiyo ukweli Wala haihitaji 🚀 science kujijua hili jambo. Kuna kazi anaziratibu? Mamlaka inamtegemea? Watanzania si wajinga. Uzi tayari.
Toka lile genge la magufuli limeanza kurejeshwa madarakani utekaji umeongeza. Na kitendo cha mama Samia kuanza kupingwa waziwazi na wapinzani kwenye kugawa raslimali za umma kwa wageni, kumemfanya kutumia mbinu za kutisha wapinzani.

Zile 4R zake ilikuwa ni kuhadaa wapinzani ili atawale bila kuhojiwa kwa ukali. Baada ya kuanza kupingwa wazi wazi ameamua kutumia madaraka yake vibaya.
 
Huu ndiyo ukweli Wala haihitaji 🚀 science kujijua hili jambo. Kuna kazi anaziratibu? Mamlaka inamtegemea? Watanzania si wajinga. Uzi tayari.
Kwani hamnaga ushahidi kabisa wa Makonda muende mahakamani!
 
Hakuna kitu popote pale.

Red brigade ya CHADEMA ndio imetuhumiwa na wanachama wenzao kuwa na overt na covert operations. Yaani wana makando kando.

Haya matukio ya utekaji na "unyanga'nyi'😌 ni matokeo ya mazingira machafu ya kisiasa wanayoyajenga/tengeneza. Full fabrication.

Hebu CHADEMA muutuuzie sera, na sio kutufanya Watanzania kucha kuwa ni mazuzu na kutuuzia huu uwongo kuhusu Makonda.
 
Back
Top Bottom