Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka lile genge la magufuli limeanza kurejeshwa madarakani utekaji umeongeza. Na kitendo cha mama Samia kuanza kupingwa waziwazi na wapinzani kwenye kugawa raslimali za umma kwa wageni, kumemfanya kutumia mbinu za kutisha wapinzani.Huu ndiyo ukweli Wala haihitaji 🚀 science kujijua hili jambo. Kuna kazi anaziratibu? Mamlaka inamtegemea? Watanzania si wajinga. Uzi tayari.
Kwani hamnaga ushahidi kabisa wa Makonda muende mahakamani!Huu ndiyo ukweli Wala haihitaji 🚀 science kujijua hili jambo. Kuna kazi anaziratibu? Mamlaka inamtegemea? Watanzania si wajinga. Uzi tayari.