Yes gentleman,Kwa hiyo upinzani kazi yake kunachochea maendeleo kwenye nnchi?. πππ
Kabisa, kabisa...Ni CCM pekee kwa dhamira yake njema kwa taifa, utashi wa kisiasa wa viongozi wake, mipango mikakati yake ya maendeleo kwa wananchi na dhamira yake njema kwa waTanzania, ndio daima huunda serikali sikivu ya wananchi na kuongoza nchi, huku ikilenga zaidi kuwaletea waTanzania wote maendeleo bila ubaguzi wa kisiasa, kidini, kikabila au kikanda.
Upinzani Tanzania ni bora liende tu, lakini kiukweli hauna mchango wowote katika kuchochea maendeleo ya wananchi kijamii, kisiasa au kiuchumi.
Na ndio maana upinzani hauaminiki kwa waTanzania, haukubaliki kwa wananchi na wala hauchaguliki kwa wapiga kura, nyakati za uchaguzi huru, wa haki na wa wazi nchini.
Una maoni gani kwenye hilo kama mdau wa demokrasia nchini?
Mungu Ibariki Tanzania
hawahisiki na masuala ya kidemokrasia duniani kote ulimwenguni gentleman,Kabisa, kabisa...
Mchango wa Polisi ni mkubwa sana kuliko mchango wa vyama vya upinzani!
suala sio kufuta,Futeni mfumo wa vyama upinzani,mbaki na chama
Kimoja
Ova
Gentleman,Mawazo mazuri ya wabunge wa upinzani mara nyingi yamekuwa yakipingwa na mipasho ya wabunge wa CCM kule bungeni.
thank you for your neutrality kwenye mchango wako gentleman,Upinzani umejisahau na umeingia tamaa ya madaraka..Lengo la kuundwa kwa upinzani ilikuwa ni.Kuishauri serikali, kuikosoa serikali na kuisifia pale inapofanya mazuri lakini upinzani waleo umekuwa na kiburi,chuki, uadui na nia mbaya juu ya dola na kujilinganisha na kujaribu kujipima nguvu na serikali au dola kitu ambacho sio lengo kuu..lakini pia upinzani unajukumu la kulilinda taifa dhidi ya maadui wa nje na ndani. Kwamaana nyingne ni usalama wa taifa lakini leo hii baadhi ya upinzani wamekuwa kinyume wao taifa likiingia machafuko, eti wanafurahi kwa kuikomoa CCM..Lakini na Nyie CCM kwanin hamuwapi nafasi upinzani? nafasi zote mnazikumbatia nyie? kuanzia kwenye urais hadi wakurugenzi? Mimi ningefurahi kuona Mfano, Waziri wa Ardhi anatokea chama cha SAU au TLP na n.k..Wabunge msijazane kijani kitupu..Haya nayo nisababu moja wapo lakini mnajifanya hamuoni kuweni wawazi hoja zikitolewa na upinzani zitafutiwe ufumbuzi na wananchi tupewe majibu hyo ndo siasa safi..sasa sikuhz anashambuliwa mtu sio hoja.nihayo.
We snitch tuNi CCM pekee kwa dhamira yake njema kwa taifa, utashi wa kisiasa wa viongozi wake, mipango mikakati yake ya maendeleo kwa wananchi na dhamira yake njema kwa waTanzania, ndio daima huunda serikali sikivu ya wananchi na kuongoza nchi, huku ikilenga zaidi kuwaletea waTanzania wote maendeleo bila ubaguzi wa kisiasa, kidini, kikabila au kikanda, kwa kutekeleza kwa 100% ilani ya uchaguzi ya CCM, iliyojaa vipaumbele vya mahitaji ya wananchi.
Upinzani Tanzania ni bora liende tu, lakini kiukweli hauna mchango wowote katika kuchochea maendeleo ya wananchi kijamii, kisiasa au kiuchumi.
Na ndio maana upinzani hauaminiki kwa waTanzania, haukubaliki kwa wananchi na wala hauchaguliki kwa wapiga kura, nyakati za uchaguzi huru, wa haki na wa wazi nchini.
Una maoni gani kwenye hilo kama mdau wa demokrasia nchini?
Mungu Ibariki Tanzania
Wajinga wakiwa wengi mahali hakuna wazo zuri litakaloungwa mkono hapo.Gentleman,
katika demokrasia ya vyama vingi, wazo zuri ni lile linaloungwa mkono na wengi, kichume na hapo ni maoni tu ambayo yanapaswa kuskilizwa na hayana ulazima wa kupewa umuhimu wala kuzingatiwa.
upinzani Tanzania haijawahi kufikia hatua hiyo gentleman π