zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Sio mawazo yangu Biblia ipo wazi imekuelezea kila kitu ila ukisoma kwa mjicho wako wa nyama km unasoma Mabala the Farmer au Hawa the Bus Driver huwezi kuona hiloHakuna mahali nimesema au panathibitisha hilo, labda ni mawazo yako mkuu
Nimecheka mpaka nimejampa duuh hii kali ya 2024 tunafunga mwaka kwa kucheka, rudia tena umesema kwamba?kuzimu ni shimo chini ya bahari
ooh vizuri.Km kweli alishindwa kwa nini Yesu alimfuata kuzimu Shetani? Umesema alienda kumfanya nini?
Petro aliambiwa: Nenda nyuma yangu Shetani
Sasa turudi hapo kwenye kuzimu na kushindwa kwa Shetani unasema Shetani alishindwa nini wakati alishinda kwa kupitia Yuda Eskariote
weka ushahidi sasa, sijaona ukiweka ushaidi unazungumza maneno yakoSio mawazo yangu Biblia ipo wazi imekuelezea kila kitu ila ukisoma kwa mjicho wako wa nyama km unasoma Mabala the Farmer au Hawa the Bus Driver huwezi kuona hilo
gonga maswali mkuu, kwani si nimekuwekea maandiko hapo juuNimecheka mpaka nimejampa duuh hii kali ya 2024 tunafunga mwaka kwa kucheka, rudia tena umesema kwamba?
Ninataka nikugonge maswali mazito ila naona km bitakua nakuonea maana vitu vingi hujui
Huwezi kwenda kwa Mungu bila kupita kwa ShetaniHakuna mahali nimesema au panathibitisha hilo, labda ni mawazo yako mkuu
Sawa mkuu kwa hio mpaka sasa joka limefungwa huko kuzimu si ndio? Kwa hio turudi Duniani km ni hivyo maana yake binadamu wapo Huru na wamekombolewa si ndio? Au hapo sipo sahihi?2. Baada ya Yesu kutimiza kusudi lake, alienda kuzimu katika ngome ya shetani na kuharibu utawala na mamlaka yake, ukisoma kitabu cha ufunuo kinaeleza lile joka(ibilisi) amefungiwa huko kuzimu na ufalme wake ulisha haribiwa.
Wapi tunapita kwa shetani kwenda kwa Mungu?Huwezi kwenda kwa Mungu bila kupita kwa Shetani
Yesu anasema: Huwezi kwenda kwa Baba bila kupita kwangu Mimi, Mimi ndimi Nuru ya Ulimwengu
Ufunuo wa Yohana 20:2-3Sawa mkuu kwa hio mpaka sasa joka limefungwa huko kuzimu si ndio? Kwa hio turudi Duniani km ni hivyo maana yake binadamu wapo Huru na wamekombolewa si ndio? Au hapo sipo sahihi?
Shetani hakushindwa usijivuruge lengo lake lilitimia, soma vizuri Biblia lengo la Shetani lilikua ni kumuangamiza akihisi kwamba ni anauangamiza mwili kumbe kuna roho1. Shetani alishindwa kuzuia lile kusudi alilolibeba Yesu, alishindwa kumfanya Yesu aache kutimiza mapenzi ya Mungu.
Uliza swali sasaSawa mkuu kwa hio mpaka sasa joka limefungwa huko kuzimu si ndio? Kwa hio turudi Duniani km ni hivyo maana yake binadamu wapo Huru na wamekombolewa si ndio? Au hapo sipo sahihi?
Sasa kama hakumuangamiza lilitimiaje mkuu? alishindwaje kujua kuna roho? na wewe umesema shetani ni side B?Shetani hakushindwa usijivuruge lengo lake lilitimia, soma vizuri Biblia lengo la Shetani lilikua ni kumuangamiza akihisi kwamba ni anauangamiza mwili kumbe kuna roho
Roho iradhi lakini mwili ni dhaifu
Kwa hio hujajibu Swali bado Joka limefungwa au miaka elfu ishapita Joka limeachiwa?Ufunuo wa Yohana 20:2-3
[2]Akamshika yule joka, yule nyoka wa zamani, ambaye ni Ibilisi na Shetani, akamfunga miaka elfu;
[3]akamtupa katika kuzimu, akamfunga, akatia muhuri juu yake, asipate kuwadanganya mataifa tena, hata ile miaka elfu itimie; na baada ya hayo yapasa afunguliwe muda mchache.
Nakubaliana na wewe, ila hasa hasa eneo la michepukoNyongeza
Wanawake wana uwezo mkubwa kuona ya sirini kuliko wanaume
Nimeuliza kuhusu hilo joka nipe jibu halafu tuendeleeUliza swali sasa
Hahaha mkuu hujaelewa ninachokisema kuhusu Roho au unahisi ulioenda kuzimu ni mwili wa Yesu?Sasa kama hakumuangamiza lilitimiaje mkuu? alishindwaje kujua kuna roho? na wewe umesema shetani ni side B?
sasa si nimekuwekea na ushahidi wa andiko, nimekuambia huko juu, utawala wa shetani umevurugwa na amefungwa ndio kazi iliyompeleka Yesu kuzimu, leta swali lingineKwa hio hujajibu Swali bado Joka limefungwa au miaka elfu ishapita Joka limeachiwa?
nimekujibu ndio, joka liko kifungoni miaka bukuNimeuliza kuhusu hilo joka nipe jibu halafu tuendelee
Katika kila eneo wako macho sema kwenye kudhibiti michepuko wako active sanaNakubaliana na wewe, ila hasa hasa eneo la michepuko