Tangu Mungu amuulize Adamu, Adamu uko wapi? Wanaume hatupendi kabisa kuulizwa hilo swali

Km kweli alishindwa kwa nini Yesu alimfuata kuzimu Shetani? Umesema alienda kumfanya nini?

Petro aliambiwa: Nenda nyuma yangu Shetani

Sasa turudi hapo kwenye kuzimu na kushindwa kwa Shetani unasema Shetani alishindwa nini wakati alishinda kwa kupitia Yuda Eskariote
ooh vizuri.

1. Shetani alishindwa kuzuia lile kusudi alilolibeba Yesu, alishindwa kumfanya Yesu aache kutimiza mapenzi ya Mungu.

2. Baada ya Yesu kutimiza kusudi lake, alienda kuzimu katika ngome ya shetani na kuharibu utawala na mamlaka yake, ukisoma kitabu cha ufunuo kinaeleza lile joka(ibilisi) amefungiwa huko kuzimu na ufalme wake ulisha haribiwa.
 
Sawa mkuu kwa hio mpaka sasa joka limefungwa huko kuzimu si ndio? Kwa hio turudi Duniani km ni hivyo maana yake binadamu wapo Huru na wamekombolewa si ndio? Au hapo sipo sahihi?
 
Ufunuo wa Yohana 20:2-3

[2]Akamshika yule joka, yule nyoka wa zamani, ambaye ni Ibilisi na Shetani, akamfunga miaka elfu;

[3]akamtupa katika kuzimu, akamfunga, akatia muhuri juu yake, asipate kuwadanganya mataifa tena, hata ile miaka elfu itimie; na baada ya hayo yapasa afunguliwe muda mchache.
 
1. Shetani alishindwa kuzuia lile kusudi alilolibeba Yesu, alishindwa kumfanya Yesu aache kutimiza mapenzi ya Mungu.
Shetani hakushindwa usijivuruge lengo lake lilitimia, soma vizuri Biblia lengo la Shetani lilikua ni kumuangamiza akihisi kwamba ni anauangamiza mwili kumbe kuna roho

Roho iradhi lakini mwili ni dhaifu
 
Sasa kama hakumuangamiza lilitimiaje mkuu? alishindwaje kujua kuna roho? na wewe umesema shetani ni side B?
 
Ufunuo wa Yohana 20:2-3

[2]Akamshika yule joka, yule nyoka wa zamani, ambaye ni Ibilisi na Shetani, akamfunga miaka elfu;

[3]akamtupa katika kuzimu, akamfunga, akatia muhuri juu yake, asipate kuwadanganya mataifa tena, hata ile miaka elfu itimie; na baada ya hayo yapasa afunguliwe muda mchache.
Kwa hio hujajibu Swali bado Joka limefungwa au miaka elfu ishapita Joka limeachiwa?
 
Back
Top Bottom