Tangu nijue sina umuhimu wowote hapa duniani, nimekuwa mwenye amani sana!

Unauhakika na digit sita unazozisema mkuu? Yani digit sita kubwa kuliko zote ni laki 9, tisini na tisa elf, mia tisa tisini na tisa (999,999). Una uhakika hii laki tisa ikiwa kwenye account jamaa ataona thamani ya maishaa..πŸ€”πŸ€”!?
Kila mtu na anavyotafsiri financial freedom.
Yeye kaamua kuishi humo
 
Well articulated mkuu
 
Kuna namna hiki unachosema ni kweli. Akijiona ndani anajijua kabisa kua he's great, probably wanaomzunguka nao wanajua kua jamaa ana kitu upstairs, ila uhalisia wa maisha umempa disappointments
Ukisoma katikati ya maandishi yake unaona akili kubwa sana!, he's smart na ana potential kubwa sana ,ni maisha tu nadhani hayajampa alivyo vihitaji.
Mimi nimeongea nae ni kijana mwezetu tu 28 yrs
 
Boss tuweke namba tuokote?
Hata mimi yatima ujue sina maisha kabisa boss 😹😹😹

We Binti wa zamani usije kusema sijakwambia kuna Faza xmas huku anaanza kufanya yake 🀣😹😹
Ila mwanakwetu πŸ˜… asante kwa kunishtua, tajiri amesemaje sasa 🀣.

Ila kiukweli nikiona mtu anaandika kama huyu mleta nyuzi, na ni kijana amekata tamaa, najisikia vibaya sana. Maisha yana ukatili mwingi, shida za dunia zinatengeneza matatizo ya kisaikolojia yanayoumiza hawa watoto. Natamani nikakumbatie nikaambie kila kitu kitakua sawa, kasikate tamaa.

Hornbil tunaweza kukusaidiaje, ni nini unahitaji? hali gani imekufikisha hapa?
 
Hiki chama kimesababisha nchi hii kua na vijana wa hovyo grade one...☹️
 
Too young to feel worthless
Nimeongea nae ni kijana safi na alikua na maisha safi tu before.
Kujaribu jaribu mambo ndio kumemrudisha nyuma.

Though anaharibu uwinga pia hapa nimemwambie aaze kuja kkoo mapambano yaendelee!

 
Na mimi naomba kumbato πŸ˜…
 
Umefanya jambo jema sana.
 
Safi sana Mkuu
 
Chonde usijiue kwa kunywa sumu ama kujinyonga, hakuna binadamu/mwanaume mpambanaji mwenye mawazo kisoda/finyu kama yako. Pambana sana na jione kama mshindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…