Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
Daaah mkuu hii ni kauli ya mtu aliyejikatia tamaa
- Sihangaikii chochote naacha nature iamue!
- Sihofii chochote
- Sipambani kutafuta furaha maana najua sitakuja kuipata
Mimi ni kakitu kadogo sana na Sina maana yoyote hapa duniani
Uko sawa mkuu?
- Sihangaikii chochote naacha nature iamue!
- Sihofii chochote
- Sipambani kutafuta furaha maana najua sitakuja kuipata
Mimi ni kakitu kadogo sana na Sina maana yoyote hapa duniani
Sawa ☺️ I will be carefulBe careful kuna kiumbe anaitwa figo ana mbinu mbalimbali..!!
JF ni kichaka chenye wanyama wakali 😹😹
Hii dunia haitaki akili nyingi.
Unatakiwa uwe mjinga mjinga tu ndo unaenjoy mpaka unadata.
Piga bia, angalia mipira na movies, tombana, firana, nenda mbuga za wanyama, tembea tembea, fanya vituko, ruka, jamba, cheza cheza utaenjoy sana.
Nasikia tiktok wameanzisha challenge ya kujamba kwenye beseni.
Cc: Thesonboy
Bado una umri mdogo Kwa maisha ya sisi wa Africa so haipaswi kukataa tamaa maisha ni vita ambayo inayo wahitaji Watu wajasiri tu ili waweze kupigana nayo kinyume na hapo lazima nature ikudhalilishe ,Binti wa zamani asante kwa kujali.
Hali gani imekufikisha hapo?
Hali hii inatokana kupoteza maana ya kuishi ambayo imetokana disappointments kwenye maisha.
Hayo nadhani yameniondolea purpose kwenye haya maisha mpaka nimefika.
Kupoteza kazi na kutopata kazi pia nk
Tukusaidiaje/unahitaji nini?
Pakuazia ni kuwa Mimi ni winga humu kama nilivyojitangaza,azia hapo kanisapoti mkuu kama upo dar ulizia chochote utaletewa mpaka ulipo ndio ulipie.
Nadhani nitapata chochote kitu niweze kusurvive hapa nilipo.
Shootout Tronics guru guru kwa kwenda extra mkuu ,umeniinua sana mkuu.
Nimepata ushauri mwingi PM kama kijana naamini it is never too late,japo nimepoteza vitu na time pia.
Asante kwa hug mkuu ,Xoxo kwako🙏
🙏Bado una umri mdogo Kwa maisha ya sisi wa Africa so haipaswi kukataa tamaa maisha ni vita ambayo inayo wahitaji Watu wajasiri tu ili waweze kupigana nayo kinyume na hapo lazima nature ikudhalilishe ,
Na kudhalilika Kwa mtu ambaye hajitambui sio tatizo lakini Kwa mtu anaye jitambua kudhalilika nizaido ya toxic
So Get up , Don't lose hope muda Bado unao wa kutosha focus katika mambo muhimu uta fanikiwa pia jiepushe kuishi au kukaa na watu wasio jitambua au wasio itambua thamani yako wata kuambukiza Ujinga
They will bring you down to there level
Amekata tamaa akawa na amani ya moyo!
mkuu unahitaji dakitar wa hakili, umeadhirika kisaikorojia kutokana na kilichotokea October 29.Mbona ulivyosikia risasi kwenye maandamano uchwara nyumbu wezi wa mali za watu wakitunguliwa kwa risasi ulijificha uvunguni?
Siyo hakili ni akilikila kuchangia kwako lazma useme hayo.
katubu damu za watu sio nzuri. Mungu anakuona
sawa ila ujumbe umefka.Siyo hakili ni akili
Siyo umeadhirika ni umeathirika
Siyo kisaikorojia ni kisaikolojia