emanuel prim
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 508
- 475
Buraza! Wewe si ndio unawashauri vijana kila siku wawowe au?Hiki kizazi Cha vijana kukimbilia kuoa Wanawake wafanyakaz ili msaidiane maisha kitakuja kuwatoa roho vijana[emoji26]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Buraza! Wewe si ndio unawashauri vijana kila siku wawowe au?Hiki kizazi Cha vijana kukimbilia kuoa Wanawake wafanyakaz ili msaidiane maisha kitakuja kuwatoa roho vijana[emoji26]
Watu wanamaanisha abadilishe kijiwe tu. Kipindi flani nilipitiaga hio hali mwenzangu akawa anasisitiza nitoke tu. Kwa kuwa nilikuwa sina pa kwenda nilichokuwa nafanya nachill zangu mpaka muda wa saa 10 kisha nasepa naenda kijiwe kwa wana.HUa sielewi watu wanaolazimisha mtu utoke nyumbani kila asubuhi na urudi usiku sababu tu huna kazi, yaani kwa mfano unatoka unaenda wapi sasa wakati kazi zote skilled zinaombwa kwa utaratibu wa barua ama barua pepe ama simu.
Asante mkuuUmewasilisha mawazo ya wanawake wengi
HUa sielewi watu wanaolazimisha mtu utoke nyumbani kila asubuhi na urudi usiku sababu tu huna kazi, yaani kwa mfano unatoka unaenda wapi sasa wakati kazi zote skilled zinaombwa kwa utaratibu wa barua ama barua pepe ama simu.
Exactly mkuu, umenipa neno sahihi "kubadilisha kijiwe"Watu wanamaanisha abadilishe kijiwe tu. Kipindi flani nilipitiaga hio hali mwenzangu akawa anasisitiza nitoke tu. Kwa kuwa nilikuwa sina pa kwenda nilichokuwa nafanya nachill zangu mpaka muda wa saa 10 kisha nasepa naenda kijiwe kwa wana. Ubaya wake ni kuwa kama huingizi hata 100 ila alimradi nimetoka tu.
Mwanaume unaweza kuishi na mkeo akiwa hana mishe. Ila mwanamke kuishi na mwanaume hana mchongo ni ngumu. Sema ile kikawaida mwanaume ni nguzo ya familia.Habari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili.
Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma na mimi ni mtumishi wa sekta binafsi, ndoa yetu ina miaka mitatu sasa na tuna mtoto mmoja (asante sana MUNGU kwa hili).
Shida iliyonileta kwenu ni kuwa hapa karibuni nimepata matatizo ya kikazi sasa imenibidi niwe nashinda nyumbani kwa sababu mimi siyo mtu wa kukaa nje sana nahisi ndipo matatizo yalipoanzia. Tangu nipatwe na hii hali mke wangu amebadilika tabia sijui kama ni makusudi au lah.
Niwe muwazi kuwa mke wangu amenizidi mshahara lakini pamoja na hayo sijawahi kuona tabia hizi kwake hadi hapo nilipopatwa na hizo shida kazini.
Tabia zipo nyingi ila naleta tatu zilizonishitua;
~ Kwanza amekuwa hataki kushiriki nami tendo.
~ Pili sababu huwa nashinda na mtoto huwa napika kwa ajili yangu na mtoto ambapo ye akirudi anapika kwa ajili ya wote kwani anasema sijui kupika. Sasa hapo juzi kati alinambia itabidi nijifunze kupika kama nataka kuendelea kuwa naye.
~ Tatu ni kuwa tuna machine ya kufulia sasa imeharibika, nikamuomba kuwa nikipata hela tutafanya matengenezo akanijibu kama ni hivyo basi niwee namfulia nguo zikiwemo chupi zake daah.
Mimi nimefikiria uamuzi wa kuachana naye licha ya kuwa na mtoto naye, kwani sina mpango wa kumpiga na hiyo juzi ilibaki kidogo nipige arudi kwao Vunjo Mashariki na ulemavu wa uso alivyosema niwe namfulia.
Nauliza tu wanawake wa humu haya anayofanya mwenzenu ni halali kweli?
Yani mawazo lazima cha msingi ni kukaza tu, mishe mishe zipo mjini. Ila vitimbi vyake visije mfanya akaleta zile za kuuana, hapa itakua sio poa kabisa. Mwishowe atajutia akiwa nyuma ya nondo na mke ndo hivo wana wanakula tu kirahisi.Chief jiandae visa vya makusudi apo anatafuta sababu za kutemana .
Hii same story imenitokea juzi tu KWA wife niliempenda na kumuamini .
Badala uchumi kuyumba alitengeneza mazingira ya niwe nakasirika mda wote (namshukuru mungu sikuwahi kumgusa ata singi )
Atatengeneza mazingira ya uwe unamnyenyekea Ili ukasirike .
Vitimbwi vyote atakuletea mwisho wa siku mume utakuwa na hasira zako na tendo la ndoa utalikinai (Izo ni plan baadaye sana ndio utakuja kugundua zilikuwa za makusudi )
Jiandae na vikao maana ataenda kulalamika humtimizi haja zake tendo na huduma za ndani .
Ukweli nilipigana vitimbwi na dharau mwisho wa siku anajitangazia kwao nimemuacha na mbaya zaidi alishapakaza mbaya kwao akaja home kimya kimya akabeba vitu .
Usiku narudi home nakuta godoro tu niliumia sana sikutaka purukushani kupiga piga simu najua sababu mti wa pesa umekauka yote haya yametokea.
Ila yote na yote Jipange Ili usije ukakonda KWA mawazo. Good luck budy
Hii ni kwa kila fani? Ama inachagua fani?Mwanaume unatakiwa uwe na plan b.. yaani ukisimamishea kazi ndio unashinda ndani kutwa nzima unalala na kuamka kutazama tv?
Kuwa na vijiwe vya kupigia deiwaka hata wekend.. siku ukiachishwa kazi yako unaenda kushinda plan b yako
Acha kabisa mbusus hizi balaaa. Na huyu aliye unda mobile money ndio kaharibh mambo kabisa maana hii ya kutuma na simu unatoa kirahisi sanaWengine tofali ziko site miaka sasa mpaka zimeota ukungu, K zinamaliza sana hela mamæ 🤣🤣🤣
Habari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili.
Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma na mimi ni mtumishi wa sekta binafsi, ndoa yetu ina miaka mitatu sasa na tuna mtoto mmoja (asante sana MUNGU kwa hili).
Shida iliyonileta kwenu ni kuwa hapa karibuni nimepata matatizo ya kikazi sasa imenibidi niwe nashinda nyumbani kwa sababu mimi siyo mtu wa kukaa nje sana nahisi ndipo matatizo yalipoanzia. Tangu nipatwe na hii hali mke wangu amebadilika tabia sijui kama ni makusudi au lah.
Niwe muwazi kuwa mke wangu amenizidi mshahara lakini pamoja na hayo sijawahi kuona tabia hizi kwake hadi hapo nilipopatwa na hizo shida kazini.
Tabia zipo nyingi ila naleta tatu zilizonishitua;
~ Kwanza amekuwa hataki kushiriki nami tendo.
~ Pili sababu huwa nashinda na mtoto huwa napika kwa ajili yangu na mtoto ambapo ye akirudi anapika kwa ajili ya wote kwani anasema sijui kupika. Sasa hapo juzi kati alinambia itabidi nijifunze kupika kama nataka kuendelea kuwa naye.
~ Tatu ni kuwa tuna machine ya kufulia sasa imeharibika, nikamuomba kuwa nikipata hela tutafanya matengenezo akanijibu kama ni hivyo basi niwee namfulia nguo zikiwemo chupi zake daah.
Mimi nimefikiria uamuzi wa kuachana naye licha ya kuwa na mtoto naye, kwani sina mpango wa kumpiga na hiyo juzi ilibaki kidogo nipige arudi kwao Vunjo Mashariki na ulemavu wa uso alivyosema niwe namfulia.
Nauliza tu wanawake wa humu haya anayofanya mwenzenu ni halali kweli?
Umeona hilo unajua kuishika pesa mkononi unaiona thamani yakeAcha kabisa mbusus hizi balaaa. Na huyu aliye unda mobile money ndio kaharibh mambo kabisa maana hii ya kutuma na simu unatoa kirahisi sana
Hpn nibora asitombwe Bora hzo zarau kuliko kugegedewa huku unajuwaaisee hawa wanawake wakishakuona huna kazi na ndalama haziingi lazima uzione rangi zao halisi [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
hapo cha kufanya mwanawane ni kufukuza tuu maana mwanamke mara mia atombwe huko nje lakini sio kuleta dharau wakati mwanawane u are down. piga chini fasta
Hii ni kwa kila fani? Ama inachagua fani?
That's my point, katika maisha nobody at your home should know you are jobless.Jaribu kutoka toka uzuge Kama Kuna mchongo unasikilizia unavyokaa ndani anakuona huna mpango wowote
Hapana bwana mie mke bora atombwe nijue naweza samehe lakini sio dharau especially pale napo pitia financial difficulties.Hpn nibora asitombwe Bora hzo zarau kuliko kugegedewa huku unajuwa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app