Tangu Rais Dkt. Magufuli afariki, hakuna Habari za vifo vya Corona

Hakufia Kenya. Alirudishwa akiwa kwenye coma baada ya madokta wa Kenya kusema hakuna cha kufanya zaidi kumuokoa.
Kumbe unajua kuwa alirudishwa kwenye koma - yaani akiwa hajitambui - na hivyo hayo mambo yaliyotokea pale mzena baina ya familia yake na viongozi wa dini hayakutokea! Je unaweza kutusaidia kujua alipelekwa Kenya tarehe ngapi, na kurudishwa tarehe ngapi kusudi tuunganishea timeline ya kuugua hadi kifo chake.
 
Umetumia kipimo gani kuwa hakuna vifo vitokanavyo na covid?
 
Ajieleze mzushi brazaj maana alishadidia ajabu

Tunasubiria taarifa ya tume ya wataalamu wabobezi ya mama Samia.

Hii ndiyo njia sahihi itakayo tuvusha. Makelele ya nini?

Laiti, nwendazake angetusikiliza si ajabu gonjwa hili wala lisingemsambaratisha.
 
Unajuaje kuwa hakuna corona, umepima wangapi?
Apime na mashine gani wakati jiwe alituambia kuwa mashine zile ni feki hadi akamfukuza yule mama mkurugenzi wa maabara?
 
Hawa watu wanao shindana na maelezo ya wataalam ndiyo wanataka kuliingiza taifa kwenye janga zaidi.
 
Kwa mtazamo wako huo Mshukuru Mungu hujawa mmoja wa walioathiriwa na hiyo kitu.Ila isifike tu mahali hata uka mkosea Mungu.
Yeye mungu wake yupo chatou
 
Tunasubiria taarifa ya tume ya wataalamu wabobezi ya mama Samia.

Hii ndiyo njia sahihi itakayo tuvusha. Makelele ya nini?

Laiti, nwendazake angetusikiliza si ajabu gonjwa hili wala lisingemsambaratisha.
Naona ulifurahii adui wenu kufa
 
Nenda hospital kapate ripoti.muhimu chukua tahadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…