Tangu Rais Dkt. Magufuli afariki, hakuna Habari za vifo vya Corona

Mkuu Puyet Bubet yaani umewaza kama mimi.Juzi nilimwambia mke wangu haya maneno,''Toka Jiwe ameondoka sijasikia yeyote kati ya mawaziri au viongozi waandamizi kufa kwa covid-19,usijekuta ni njama za kummaliza Jiwe!''.Mwisho wa kujinukuu!!
 
Kwani daktari wa moyo wa JPM pale Jakaya Kikwete Institute alikuwa ni nani? Usijekuta ni yule ni mtu aliyekuwa na conflict of interests baina ya JPM na JK
 
hapo awali mlijuaje kama kuna corona?
mlikuwa mnapima watu wangapi kwa sikubna katika maabara ipi?
Covid inaenda kwa kitu kinachoitwa ''waves'' au tuseme awamu. Maambukizo yanakuwa makubwa kwa muda fulani au wataalam wanasema peak period, watu anakufa kwa wingi, halafu inapoa. Baada ya muda inarudi tena tena ''wave'' nyingine. Unakumbuka ilipoingia mwaka jana Tanzania kwenye miezi ya 4, 5 na 6 kulikuwa na vifo vingi baadae ikapungua kiasi ambacho Magufuli alisema imenalizwa na maombi? Na mwaka jana mwishoni vifo vikaanza kidogo kidogo na ilipofika January, February na March vifo vikawa vingi mpaka ikamwondoa rais wetu? Basi kuna uwezekano inaweza kurudi tena!
 
kutangaza kuipa kipaumbele ndio kinga dhidi ya corona?
Hvi kuna suala linaweza kufanyiwa kazi na serikali bila kelele za media? Hvi suala la bando bila kelele za media wangebadili maamuzi?

So hata hivyo vifo bado vipo juzi tu hapa Mwandosya katangaza kupona Covid ila the thing is vilikua vinatangazwa ili kumpa pressure JPM afanye mabadiliko ya approach yake.

So SSH ameonyesha seriousness sasa watangaze vifo ili wapate nini wakati walichotaka kimepatikana tayari (Serious approach).
 
Covid inaenda kwa kitu kinachoitwa ''waves'' au tuseme awamu. Maambukizo yanakuwa makubwa kwa muda fulani au wataalam wanasema peak period, watu anakufa kwa wingi, halafu inapoa. Baada ya muda inarudi tena tena ''wave'' nyingine. Unakumbuka ilipoingia mwaka jana Tanzania kwenye miezi ya 4, 5 na 6 kulikuwa na vifo vingi baadae ikapungua kiasi ambacho Magufuli alisema imenalizwa na maombi? Na mwaka jana mwishoni vifo vikaanza kidogo kidogo na ilipofika January, February na March vifo vikawa vingi mpaka ikamwondoa rais wetu? Basi kuna uwezekano inaweza kurudi tena!
wewe unaota!
rais wetu aliondoka kwa maradhi ya moyo
 
Kwani daktari wa moyo wa JPM pale Jakaya Kikwete Institute alikuwa ni nani? Usijekuta ni yule ni mtu aliyekuwa na conflict of interests baina ya JPM na JK
Kichuguu ndugu yangu Magufuli alipata covid na ndiyo ilisababisha complications za moyo. Labda nadharia iwe kuwa kuna watu walifanya hila akaambukizwa kwa makusudi, kitu ambacho sidhani kwa sababu alikuwa yuko care free kupitiliza japo wasaidizi wake wa karibu walikuwa wameambukizwa na wengine kufa.
 
Habari Jf, nilikuwa nimepigwa benchi na mod mmoja hivi pasi na sababu zenye mashiko thanks God nimerejea imara na kasi ya 5G

Itakumbukwa siku za mwishoni za kuishi za mpendwa wetu, shujaa wa afrika na mzee wa kuacha alama (legacy) katika kila alilokuwa anafanya hapa nchini watu wengi sana waliibuka kumpinga vikali juu ya uwepo wa second version ya covid 19 hapa nchini na duniani kote

Tanzia nyingi ziliripotiwa kila uchwao, hali hii ilianza kumshake hayati lakini kwa ushujaa wake alisimama imara, akapinga wazi uwepo wa hali mbaya ya uwepo wa athari za corona japo alikiri kuwa ipo

Tangu hayati magufuli kufariki mwezi mmoja sasa hakuna kelele tena za tanzia wala tishio dhidi ya ugonjwa huu, wanaharakati wa mitandaoni nao kimya, wapinzani waliojifanya kuwapenda watanzania kupita kiasi nao ni vivyohivyo wameufyata

Je, kelele zile kwa mheshimiwa hayati magufuli kuhusu corona zilikuwa ni mbinu za kumdhoofisha rais wetu dhidi ya covid 19?
Nini kimebadilisha hali ile ilhali nchi haijachukua hatua yoyote na zile taarifa za tanzia hakuna tena

nini kimebarika sasa hatusikii kujaa kwa wagonjwa wa covid 19 hospitalini?

Nini kimebadilika sasa Dodoma haisikiki tena kwamba ndio ilikuwa na maambuzi zaidi ya corona?
Upuuzi mtupu,mpk akili kurudi mtaacha kuabudu huo mzimu utafikiri aliyekufa ni pekeake.Hiv Maalim Seif yupo hai nyie mazombie ya jiwe?
 
Hebu jaribu kutumia hata uwezo wa 0.0007%ya ubongo wako, ulionao kwani najua %nyingine haipo, kwani kipindi kile akiwa hai , hali hii haikutokea?huko ulaya/marekani muda wote vifo vinakuwa vile vile, unaposikia wimbi la kwanza, la pili , la tatu la covid19, unaelewa nini??ngoja uone Mama anakoelekea kwenye mbinu za kisayansi tu, siku hizi hata wale waganga wa kienyeji huwasikii tena, yaani waliifanya TBC, kama ndio kilinge chao, wataalam wa afya wakawa hawajulikani!!daaa ila kama taifa tulikokuwa tunaelekea, ...MUNGU FUNDI
Asante sana. Nilikuwa sijaona jibu lako. Na mimi nimemjibu hivyo hivyo. Sijui hawa watu wana bongo za aina gani. Kila siku mambo ya ''waves'' za huu ugonjwa yanajadiliwa lakini watu hawaelewi.
 
Habari Jf, nilikuwa nimepigwa benchi na mod mmoja hivi pasi na sababu zenye mashiko thanks God nimerejea imara na kasi ya 5G

Itakumbukwa siku za mwishoni za kuishi za mpendwa wetu, shujaa wa afrika na mzee wa kuacha alama (legacy) katika kila alilokuwa anafanya hapa nchini watu wengi sana waliibuka kumpinga vikali juu ya uwepo wa second version ya covid 19 hapa nchini na duniani kote

Tanzia nyingi ziliripotiwa kila uchwao, hali hii ilianza kumshake hayati lakini kwa ushujaa wake alisimama imara, akapinga wazi uwepo wa hali mbaya ya uwepo wa athari za corona japo alikiri kuwa ipo

Tangu hayati magufuli kufariki mwezi mmoja sasa hakuna kelele tena za tanzia wala tishio dhidi ya ugonjwa huu, wanaharakati wa mitandaoni nao kimya, wapinzani waliojifanya kuwapenda watanzania kupita kiasi nao ni vivyohivyo wameufyata

Je, kelele zile kwa mheshimiwa hayati magufuli kuhusu corona zilikuwa ni mbinu za kumdhoofisha rais wetu dhidi ya covid 19?
Nini kimebadilisha hali ile ilhali nchi haijachukua hatua yoyote na zile taarifa za tanzia hakuna tena

nini kimebarika sasa hatusikii kujaa kwa wagonjwa wa covid 19 hospitalini?

Nini kimebadilika sasa Dodoma haisikiki tena kwamba ndio ilikuwa na maambuzi zaidi ya corona?
Ajieleze mzushi brazaj maana alishadidia ajabu
 
Kichuguu ndugu yangu Magufuli alipata covid na ndiyo ilisababisha complications za moyo. Labda nadharia iwe kuwa kuna watu walifanya hila akaambukizwa kwa makusudi, kitu ambacho sidhani kwa sababu alikuwa yuko care free kupitiliza japo wasaidizi wake wa karibu walikuwa wameambukizwa na wengine kufa.
Kuna watu wa karibu kuliko mke wake?
 
Kwani daktari wa moyo wa JPM pale Jakaya Kikwete Institute alikuwa ni nani? Usijekuta ni yule ni mtu aliyekuwa na conflict of interests baina ya JPM na JK
Mtu mwenyewe alikuwa mbishi. Angekubali tangu mwanzoni kabisa alipoanza kuugua wakampeleka hospital za Ulaya pengine angeweza kupona. Mpaka alipolazwa hospital ya Mzena alikuwa hajazidiwa sana lakini hali ikabadilika ghafla akashindwa hata kuongea ndiyo wakamkimbiza Kenya wakati ilishakuwa too late.
 
Kwa hiyo unajua kuwa alifia Kenya!
 
Mtu mwenyewe alikuwa mbishi. Angekubali tangu mwanzoni kabisa alipoanza kuugua wakampeleka hospital za Ulaya pengine angeweza kupona. Mpaka alipolazwa hospital ya Mzena alikuwa hajazidiwa sana lakini hali ikabadilika ghafla akashindwa hata kuongea ndiyo wakamkimbiza Kenya wakati ilishakuwa too late.

We naww vip??

Sasa ukitaka apone Ili iweje??

Let's celebrate at least he is gone now
 
Mke wake akiwa mtu wa karibu ndiyo inaashiria nini? Kwa vile hakuugua au?
Covid ni ugonjwa wa kuambukizana kwa hewa. Wataalamu wanasema kuwa mgonjwa akiwa na wewe kwa karibu zaidi ya futi sita bila kinga basi utaambukizwa. Mke wake alikuwa karibu naye chini ya hizo futi sita kwa muda mrefu sana bila kinga yoyote hivyo na yeye angeambukizwa!
 
Back
Top Bottom