Tangu tukiwa wadogo Haji Manara wanawake hawakumpenda

Baharia Saidi alikua anatuhudumia hata sisi washona viatu pale nje.

Hivi aliwahi uza juice tofauti na ile ya ukwaju?๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Baharia Saidi alikua anatuhudumia hata sisi washona viatu pale nje.

Hivi aliwahi uza juice tofauti na ile ya ukwaju?๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Hapana,mi kipindi chote nilijunywa ya ukwaju tu,kumbe unamkumbuka huyu mwamba,,atakuwa amezeeka sasa
 
Hakika
 
Hapana,mi kipindi chote nilijunywa ya ukwaju tu,kumbe unamkumbuka huyu mwamba,,atakuwa amezeeka sasa
Yeah namkumbuka sana aisee, atakua Mzee sana sasa hivi, maana kama sisi tuko hivi yeye atakuaje unadhani... Na atakae rithi mikoba yake pale hatoweza kutumia jina tofauti na hilo kwa maana hilo jina limekomaa hadi limeota mizizi ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….
 
Man, stay with a woman who doesn't need your money.

The problem of this guy is dating with broke women , dumber and mediocre

Also Marriage is business
He dates with broken women because some of them are cheaper to get as they follow money/popularity once they are popular then shiit comes against him
 
Kuwa na amani, uthibitisho kuwa umezaliwa sio cheti ๐Ÿ˜๐Ÿ˜น
Hapo amani hamna nitaambiwa nimetolewa majalalani sikua hata na birth certificate ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Ata Huyu alikua mdogo chief mimi nimeanza nia miaka 13๐Ÿคฃdarasa ya kwanza inshort nilikua na mavuz kwa mbali
Ndio maana maticha walikua wanawabonda haswa, miaka 13 uanze kumfundisha a,e,i,o,u kwa upole na upendo hawezi elewa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tatizo lipo kwenye tabia zake,
Kuhusu ulemavu wake hawezi kukosa mwanamke wa kumpenda.
Hatakiwi kuhukumiwa kwa rangi yake sababu hilo lipo nje ya uwezo wake.
Jamani wanawake mnatuchanganya nyie....mnasema mnataka pesa tabia mtarekebishana . Leo imekuwa tabia tena ...ebu kwenye vikao vgenu amueni moja mnakuwa vigeu geu kama sie wanaume,leo tako kesho titi keshokutwa paja
 
Manara hana tabia njema wala pesa hana ndio maana havumiliwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ