Tangu tukiwa wadogo Haji Manara wanawake hawakumpenda

Nimemkumbuka Babu Sikare...Albino Fulani
 
Kuna jamaa alitujuza huyu mwanamke wa kuoa atampata Namtumbo...afike pale Center kuna msikiti amtafute Imamu...atapata msaada wa mke wa kumaliza nae utu uzima kwa staha.....lakini vinginevyo.........
 
Kuna jamaa alitujuza huyu mwanamke wa kuoa atampata Namtumbo...afike pale Center kuna msikiti amtafute Imamu...atapata msaada wa mke wa kumaliza nae utu uzima kwa staha.....lakini vinginevyo.........
Natafuta Ajira komasavaa thread zenu zinamponza Manara nyie si ndo mnasemaga tuoe wasichana between 18-26 angalau Sasa Manara huwa anaoa wa umri huo lakini ngoma ni nzito
 
Daah Kuna Dogo mmoja bana alisema mzaramo anapenda kunyonywa Mix by Yas na wanawake zake.

Kuna mchepuko wake alitoa hiyo siri sababu alimuomba mzaramo 500k na wakati ule hakuwa nayo Kwa Muda anataka yeye.

Nilisikitika sana asee hizi stori zimetoka magomeni mwembe Chai.

Sasa sijui mzaramo anashida Gani Yule mwenetu mana sikutaka kuhoji Sana mana ilinikata kusikia vile.
 
Haji hawa wanawake zake wanamfanya kama shamba la bibi wakishavuna wanamuacha na ujivuni wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…