Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,059
Ukiamua/ukifanywa kuwa kipofu wa fikra, hakuna ushahidi wala ukweli utakoaokaa uuone au kuupokea.Polee mkuu
Umefeli sana, pakubwa mno! HUNA facts, HUNA evidence, huna huna, zaidi ya HYPOTHESIS tu.
Kaa hapo hapo, ndio utawala wenu huu!
Kweli leadership ni tatizo kubwa sana Africa. Number one.Izo vitu katiba siku nini kwenye nchi za kiafrika viongozi hawaheshimu kabisa ayo madocuments kwaio best way out ni kuomba mungu mpate Top leaders wenye uzalendo. Wajue wananchi wanaitaji maisha bora na wao ndo wanajukumu la kutuvusha kutupeleka huko.Most of the African leader's wamejaa ubinafsi uliopitiliza that's the reason wananchi wanaishi kwenye wimbi kubwa la umaskini .
Wapumbavu watapinga .... kumfananisha sa100 na magufuli sawa na kufananisha chakula na [emoji117][emoji90] kisa [emoji90]nayo yanatokana na chakula ....JPM ni chakula safiHabari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-
1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi
2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .
3. Wanapenda starehe sana
Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .
Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .
Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
Rais ana kikosi cha kuteka raia wake.Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-
1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi
2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .
3. Wanapenda starehe sana
Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .
Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .
Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
Sema tu kifo ni nywila ya Mungu, lakini JPM angalifaa bado kuliongoza taifa mpaka mwisho wa muhula wake. Ilipaswa matamanio na ndoto zake zote kuhusu maendeleo ya taifa letu zipate kutimia.Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-
1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi
2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .
3. Wanapenda starehe sana
Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .
Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .
Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
Ukisema hivyo ni kana kwamba alikuwa anawakusanya watu na kuwauwa for fun.Kwahiyo solution ndio kutuua?
Umeangalia upande mmoja tu juu yake tena wenye tuhuma.Bado unatamani rais muuaji katili kama lile jitu!
Ilikua ni fantasy yake hiyo....sasa mie kukuliza tu hiyo degree yako uliipataje ndio uniueUkisema hivyo ni kana kwamba alikuwa anawakusanya watu na kuwauwa for fun.
Tutajie mifano ya hao mashoga wenye sifa kama ulizozieleza.Tanzania inahitaji Raisi Shoga na mwenye upole,misaada itakuwa ni mingi na Wananchi na Wapinzani hawatatolewa roho kwa plaiz.
Faida za Raisi Shoga ni nyingi sana kuliko hasara. Shoga huwa ni msikivu Shoga huwa ni Mchamungu.
Mashoga huwa wana vision.
Strong institutions,Katiba Mpya inayodhibiti na kumpunguzia Raisi madaraka ya Kisultani Mtanzania yeyote anaweza kuwa Raisi hata mwenye down syndrome.
Ushahidi huu hapaUNa ushahidi ?
Steve Jobs George Michael nk.Tutajie mifano ya hao mashoga wenye sifa kama ulizozieleza.
Tulifikaje uchumi wa kati chini ?Pia kipindi cha Magufuli ndio uchumi wetu ulikuwa kwa spidi ndogo zaidi kuliko cha Kikwete na Mkapa, aliharibu zaidi kuliko alivyosaidia
Uchumi wa mchongo,watu walikosa hata vitumbua.Tulifikaje uchumi wa kati chini ?
Unajua toka muanze kumuelezea huyo Magufuli na hiyo sifa ya uuwaji ni kwamba mmekuwa mnarudia kuwataja watu walewale tu kila siku ambao ndio mnadai kuwa aliwauwa kwa sababu ambazo hazina mashiko, nasema hivyo kwa sababu kwa jinsi ambavyo mnavyomkuza na hiyo sifa ya uuwaji kwa mtu ambaye ni kiongozi tena dikteta ni wazi kungekuwa na list ndefu ya watu aliyowauwa mbali na hao sijui maiti za kwenye viroba ambao ni watu wasiojulikana wala sababu za kuuliwa kwao.Ilikua ni fantasy yake hiyo....sasa mie kukuliza tu hiyo degree yako uliipataje ndio uniue