Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa kupata Rais kama Magufuli mwenye makali zaidi

Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa kupata Rais kama Magufuli mwenye makali zaidi

Polee mkuu

Umefeli sana, pakubwa mno! HUNA facts, HUNA evidence, huna huna, zaidi ya HYPOTHESIS tu.

Kaa hapo hapo, ndio utawala wenu huu!
Ukiamua/ukifanywa kuwa kipofu wa fikra, hakuna ushahidi wala ukweli utakoaokaa uuone au kuupokea.

Kwako wewe na watu aina yako facts au evidence ni vile unavyovitaka tu.
Kwenu ile process ya uharibifu imekamilika..
 
Izo vitu katiba siku nini kwenye nchi za kiafrika viongozi hawaheshimu kabisa ayo madocuments kwaio best way out ni kuomba mungu mpate Top leaders wenye uzalendo. Wajue wananchi wanaitaji maisha bora na wao ndo wanajukumu la kutuvusha kutupeleka huko.Most of the African leader's wamejaa ubinafsi uliopitiliza that's the reason wananchi wanaishi kwenye wimbi kubwa la umaskini .
Kweli leadership ni tatizo kubwa sana Africa. Number one.

Lakini tunaweza kufanya utaratibu wa kutengeneza kizazi cha tofauti na hiki, ambacho kitakuja kutoa good leaders.
 
Hitaji kubwa la wananchi ni;
1. Kutatua kero zao.
2. Kuleta maendeleo kwenye maeneo Yao
3. Usalama wa raia na mali zao.(amani)
4. Kudhibiti ubadhirifu na Ufisadi.
5. Uwajibikaji
6. Demokrasia/ uhuru wa kutoa maoni
7. Kulinda na kuheshimu haki za binaadamu

Awamu ya 6 inajitajidi sana kuyatimiza mambo hayo kwa vitenda tumajionea, ila kuna watendaji wachache sana bado hawajabadilika.
 
Kabisa.tunahitaji rais kama magufuli.hatutaki hawa wa remote kutoka msoga ambao kwa sasa wanataka kutuingiza mkenge kwa kujenga daraja kwenda zanzibar kwa kutumia pesa za tanganyika ambalo halina faida hata moja kwa Tanganyika.
 
Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-

1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi

2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .

3. Wanapenda starehe sana

Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .

Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .

Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
Wapumbavu watapinga .... kumfananisha sa100 na magufuli sawa na kufananisha chakula na [emoji117][emoji90] kisa [emoji90]nayo yanatokana na chakula ....JPM ni chakula safi

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:-

1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi

2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof ,PHD ,degree ukitoa aile kujua vitu vingi linapokuja suala la kufikiri hawatofautiana sana .

3. Wanapenda starehe sana

Sasa kuongoza watu wenye sifa hizo huhitaji sana kuwashirikisha ,unacho hitaji ni kuwaongoza njia sahihi .

Ukiachana na tuhuma alizopewa Hayati JPM ambazo hazina Ukweli wala ushahidi wowote alijitahidi sana .

Hivyo kuna haja ya kumpata mwingine Mwenye makali zaidi tuweze piga hatua zaidi .
Rais ana kikosi cha kuteka raia wake.
 
Sema tu kifo ni nywila ya Mungu, lakini JPM angalifaa bado kuliongoza taifa mpaka mwisho wa muhula wake. Ilipaswa matamanio na ndoto zake zote kuhusu maendeleo ya taifa letu zipate kutimia.

Kama angalikuwepo hai yule jamaa hadi hii leo, hivi sasa tungalikuwa tunazungumza lugha nyingine kabisa katika yale aliyotamani kuyafaniskisha. Natumbua hakuwa na mzaha kabisa katika kusukuma maendeleo ya vitu, usimamizi thabiti wa rasilimali za nchi, uthubutu wa kufanya maamuzi magumu, na kurudisha nidhamu katika utumishi wa umma,

Lakini hakuwa malaika. Lakini ule upande wake wa pili ndiyo lilipokuwapo tatizo jingine. Ebu ungana na mimi kupitia mashairi ya wimbo ufuatao,

Ingekuwa vipi! X 3

Ingekuwa vipi kama JPM angekuwa hai, Je! Membe angalitakiwa kupewa fidia na Musiba!?

Ingekuwa vipi! X 3

Ingekuwa vipi kama JPM angekuwa hai, Je! Mtoto pendwa Sabaya angalitupwa kolokoloni !?

Ingekuwa vipi! X 3

Ingekuwa vipi kama JPM angekuwa hai, Je! Kesi ya ugaidi ya Mbowe ingalitupwa na yeye kuwa huru mtaani!?

Ingekuwa vipi! X 3

Ingekuwa vipi kama JPM angekuwa hai, Je! Vyama vya upinzani vingalikuwa huru kufanya mikutano yao halali ya kisiasa !?
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Tanzania inahitaji Raisi Shoga na mwenye upole,misaada itakuwa ni mingi na Wananchi na Wapinzani hawatatolewa roho kwa plaiz.

Faida za Raisi Shoga ni nyingi sana kuliko hasara. Shoga huwa ni msikivu Shoga huwa ni Mchamungu.

Mashoga huwa wana vision.

Strong institutions,Katiba Mpya inayodhibiti na kumpunguzia Raisi madaraka ya Kisultani Mtanzania yeyote anaweza kuwa Raisi hata mwenye down syndrome.
 
Tutajie mifano ya hao mashoga wenye sifa kama ulizozieleza.
 
Ilikua ni fantasy yake hiyo....sasa mie kukuliza tu hiyo degree yako uliipataje ndio uniue
Unajua toka muanze kumuelezea huyo Magufuli na hiyo sifa ya uuwaji ni kwamba mmekuwa mnarudia kuwataja watu walewale tu kila siku ambao ndio mnadai kuwa aliwauwa kwa sababu ambazo hazina mashiko, nasema hivyo kwa sababu kwa jinsi ambavyo mnavyomkuza na hiyo sifa ya uuwaji kwa mtu ambaye ni kiongozi tena dikteta ni wazi kungekuwa na list ndefu ya watu aliyowauwa mbali na hao sijui maiti za kwenye viroba ambao ni watu wasiojulikana wala sababu za kuuliwa kwao.
 
Back
Top Bottom