Tanzania haijapate Mwinjilisti Mwingine mwenye nguvu kitaifa kama Moses Kulola sababu aliondoka bila kukabidhi mtu kipawa alichokuwa nacho

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Viongozi wote wakubwa wenye vipawa vikubwa kwenye Biblia kabla kuondoka duniani walikabidhi vipawa vyao kwa watu wengine specific.Musa alikabidhi kwa Joshua na Eliya alikabidhi kwa Elisha na baada ya kukabidhiwa wakabidhiwa walifanya maajabu makubwa

Moses Kulola alikuwa Mwinjilisti akihubiri.maelfu walikimbia kutubu dhambi na kuziacha kwenye mikutano yake kama ilivyokuwa kwa Yohana Mbatizaji Yerusalemu na Yudea yote walikwenda kwake kutubu dhambi. Tofauti na sasa wengi huenda kwa ajili ya maombi na maombezi tu mambo ya kutubu dhambi hawana mpango nayo.Yohana mbatizaji alikuwa na huduma kuu ya kutubisha watu dhambi zao na kuacha hajawahi ponya mtu wala muujiza wowote Billy.Graham pia alikuwa na kipawa hicho cha kuleta mamilioni kutubu dhambi na kuziacha

Moses Kulola pia anafahamika zaidi kwa kuwaleta wengi kutubu dhambi na kuziacha kwa Tanzania

Lakini kutokana na Mateso makali aliyopitia mikononi mwa Kanisa na magerezani huko na kwa mataifa wasiojali Injilli alihangaika na mateso yake akasahau kukabidhi kazi yake kwa mwingine awe kama yeye na zaidi siku zake za kuondoka duniani zilipofika.Hivyo kuliacha Taifa la Tanzania njia panda halina Mwinjilisti mwenye nguvu kama yeye mleta watu wengi wautubu dhambi na kuziacha. Kaliacha taifa njia panda limejaa huduma za maombi na maombezi na uchungaji Kila mtu anataka kuwa mchungaji au kiongozi wa huduma ya maombi na maombezi Uinjilisti hawataki

Vyombo makanisa mengi yamekuwa matapeli huombq kuwa yanahitaji kwa ajili ya injili uongo mtupu wanahitaji vyombo kwa ajili ya kwaya tu kanisani hakuna cha uijilisti wala nini

.Katika huduma zisizopendwa tena ni Uinjilisti wakati wa kipindi chake yeye Moses Kulola alikuwa role model watu wengi walipenda sana Uinjilisti kuliko uchungaji au huduma za maombi na maombezi

Leo ni Ijumaa kuu tunapokumbuka mateso Yesu alipata tukumbuke pia mateso Moses Kulola alipitia na vizuri kila aliyehusika kumtesa kwa mawazo,kwa maneno au vitendo awe mtu binafsi au taasisi au kikundi kwa siri au kwa wazi au kwa kumuwazia au kumsema vibaya aombe msamaha kwa Mungu Ijumaa kuu hii na kuomba rehema za Mungu asamehe alete mwingine kama Moses Kulola.Sioni Nchi ku move forward kwa nguvu sana kwenye Uinjilisti kama kanisa halitafanya toba kwa madhira iliyompitisha Moses Kulola

Na kama Taifa tuombe Rehema za Mungu kama taifa tuhurumiwe sababu sio vizuri sana mtumishi mwenye nguvu kama yule kufia kwenye nchi yetu kwa mateso aliyopata ndani ya nchi.Nchi twaweza laanika kwa kuwajibika kwa kifo chake sababu alifia kwetu kwa mateso
Damu yake iko nchini kwetu Bugando ,Mwanza ,Tanzania

Nawatakia Ijumaa kuu njema
 
Na pia hautamsikia mwamposa akisema watu watubu dhambi, nakubaliana na
mleta maada,na si mwamposa tu siku hizi mafundisho ya Toba yamepotea sana , Kila mtu anazungumzia miujiza na mafanikio ya kimwili zaid
 
Nawatakia Ijumaa kuu @YEHODAYA asante sana kwa post yako, niliwahi kusikia Askofu Kakobe miaka fulani wakati wa uhai wa mzee Askofu Moses Kulola, Askofu Kakobe aliwapatanisha watumishi wa Mungu waliokuwa wamemnenea Kulola nasikia aliwakutanisha Mwenge karibu na Samu Njoma rd.
 
Wapo vijana wake wa kiroho aliokuwa anawaamini sana ambao kwa sasa wengi wao ni wachungaji wakubwa wa kanda mbalimbali za EAGT, mwanzoni walikuwa wainjilist lakini kwa sasa wamebaki na uchungaji tu, kidogo na ualimu. Zile injili za kutubisha watu kama enzi za kulola hazipo kwa wahubiri wa kitanzania. Mungu asaidie injili zile zirudi
 
Wengi sasa hivi wamekua ni wafanya biashara nawaita "wajasiliadini" kazi kuuza maji ya upako mafuta, sabuni, mara dawa za meno za upako na takataka zingine nyingi, makanisa machache yamebaki kuisema ile kweli ya Mungu na kuambia watu watubu dhambi zao
 
Tatizo la kukosekana wainjilisti wenye nguvu kama Kulola ni tatizo la makanisa yote Tanzania

Hawapo kila mtu anataka kuwa mchungaji au mwalimu au kiongozi wa kituo cha maombi na maombezi shida ni kubwa

Siongelei hao mahodari makanisani wabobezi wa kukosoana nani yuko sahihi na nani hayuko sahihi kwenye kwenye doctorines .Hao wako kibao kila kanisa kuanzia viongozi wa makanisa hadi waumini wako kibao .Kanisa halina upungufu wa hao waona kasoro au kuona wabobezi kwenye j kuona banzi lililoko kwenye jicho la kanisa lingine wako wengi kuanzia viongozi hadi waumini .Hao wengi tu.Mada yangu haiko huko.

Naongelea kukosekana kwa Wainjilisti wenye nguvu kama Kulola kuleta watu wengi kwa Yesu wanaotubu dhambi na kuziacha
 
Hao wote ni wajasiriamali, hakuna hata mmoja mwenye nguvu ya Mungu ndani yake

Viongozi wote wakubwa wenye vipawa vikubwa kwenye Biblia kabla kuondoka duniani walikabidhi vipawa vyao kwa watu wengine specific.Musa alikabidhi kwa Joshua na Eliya alikabidhi kwa Elisha na baada ya kukabidhiwa wakabidhiwa walifanya maajabu makubwa

Moses Kulola alikuwa Mwinjilisti akihubiri.maelfu walikimbia kutubu dhambi na kuziacha kwenye mikutano yake kama ilivyokuwa kwa Yohana Mbatizaji Yerusalemu na Yudea yote walikwenda kwake kutubu dhambi. Tofauti na sasa wengi huenda kwa ajili ya maombi na maombezi tu mambo ya kutubu dhambi hawana mpango nayo.Yohana mbatizaji alikuwa na huduma kuu ya kutubisha watu dhambi zao na kuacha hajawahi ponya mtu wala muujiza wowote Billy.Graham pia alikuwa na kipawa hicho cha kuleta mamilioni kutubu dhambi na kuziacha

Moses Kulola pia anafahamika zaidi kwa kuwaleta wengi kutubu dhambi na kuziacha kwa Tanzania

Lakini kutokana na Mateso makali aliyopitia mikononi mwa Kanisa na magerezani huko na kwa mataifa wasiojali Injilli alihangaika na mateso yake akasahau kukabidhi kazi yake kwa mwingine awe kama yeye na zaidi siku zake za kuondoka duniani zilipofika.Hivyo kuliacha Taifa la Tanzania njia panda halina Mwinjilisti mwenye nguvu kama yeye mleta watu wengi wautubu dhambi na kuziacha. Kaliacha taifa njia panda limejaa huduma za maombi na maombezi na uchungaji Kila mtu anataka kuwa mchungaji au kiongozi wa huduma ya maombi na maombezi Uinjilisti hawataki

Vyombo makanisa mengi yamekuwa matapeli huombq kuwa yanahitaji kwa ajili ya injili uongo mtupu wanahitaji vyombo kwa ajili ya kwaya tu kanisani hakuna cha uijilisti wala nini

.Katika huduma zisizopendwa tena ni Uinjilisti wakati wa kipindi chake yeye Moses Kulola alikuwa role model watu wengi walipenda sana Uinjilisti kuliko uchungaji au huduma za maombi na maombezi

Leo ni Ijumaa kuu tunapokumbuka mateso Yesu alipata tukumbuke pia mateso Moses Kulola alipitia na vizuri kila aliyehusika kumtesa kwa mawazo,kwa maneno au vitendo awe mtu binafsi au taasisi au kikundi kwa siri au kwa wazi au kwa kumuwazia au kumsema vibaya aombe msamaha kwa Mungu Ijumaa kuu hii na kuomba rehema za Mungu asamehe alete mwingine kama Moses Kulola.Sioni Nchi ku move forward kwa nguvu sana kwenye Uinjilisti kama kanisa halitafanya toba kwa madhira iliyompitisha Moses Kulola

Na kama Taifa tuombe Rehema za Mungu kama taifa tuhurumiwe sababu sio vizuri sana mtumishi mwenye nguvu kama yule kufia kwenye nchi yetu kwa mateso aliyopata ndani ya nchi.Nchi twaweza laanika kwa kuwajibika kwa kifo chake sababu alifia kwetu kwa mateso
Damu yake iko nchini kwetu Bugando ,Mwanza ,Tanzania

Nawatakia Ijumaa kuu njema
Leta historia ya Moses Kulola hapa na maswahibu aliyokutana nayo mtumishi tujifunze...

Maana kule kawe mtume alipitia maswahibu ya kuuza matenga ili anunue raba mtoni.
 
Naona wengi siku hizi ni motivational speaker kuwafundisha watu habri ya biashara,ndoa na mifumo ya maisha ya binadamu

Wanahimiza sana utoaji wa sadaka bila kusisitisa sadaka hiyo inayoletwa iwe ya halali isiwe na makandokando

Hawakemei dhambi kwa ukali na wala hawazungumzii dhambi
 
Back
Top Bottom