YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Viongozi wote wakubwa wenye vipawa vikubwa kwenye Biblia kabla kuondoka duniani walikabidhi vipawa vyao kwa watu wengine specific.Musa alikabidhi kwa Joshua na Eliya alikabidhi kwa Elisha na baada ya kukabidhiwa wakabidhiwa walifanya maajabu makubwa
Moses Kulola alikuwa Mwinjilisti akihubiri.maelfu walikimbia kutubu dhambi na kuziacha kwenye mikutano yake kama ilivyokuwa kwa Yohana Mbatizaji Yerusalemu na Yudea yote walikwenda kwake kutubu dhambi. Tofauti na sasa wengi huenda kwa ajili ya maombi na maombezi tu mambo ya kutubu dhambi hawana mpango nayo.Yohana mbatizaji alikuwa na huduma kuu ya kutubisha watu dhambi zao na kuacha hajawahi ponya mtu wala muujiza wowote Billy.Graham pia alikuwa na kipawa hicho cha kuleta mamilioni kutubu dhambi na kuziacha
Moses Kulola pia anafahamika zaidi kwa kuwaleta wengi kutubu dhambi na kuziacha kwa Tanzania
Lakini kutokana na Mateso makali aliyopitia mikononi mwa Kanisa na magerezani huko na kwa mataifa wasiojali Injilli alihangaika na mateso yake akasahau kukabidhi kazi yake kwa mwingine awe kama yeye na zaidi siku zake za kuondoka duniani zilipofika.Hivyo kuliacha Taifa la Tanzania njia panda halina Mwinjilisti mwenye nguvu kama yeye mleta watu wengi wautubu dhambi na kuziacha. Kaliacha taifa njia panda limejaa huduma za maombi na maombezi na uchungaji Kila mtu anataka kuwa mchungaji au kiongozi wa huduma ya maombi na maombezi Uinjilisti hawataki
Vyombo makanisa mengi yamekuwa matapeli huombq kuwa yanahitaji kwa ajili ya injili uongo mtupu wanahitaji vyombo kwa ajili ya kwaya tu kanisani hakuna cha uijilisti wala nini
.Katika huduma zisizopendwa tena ni Uinjilisti wakati wa kipindi chake yeye Moses Kulola alikuwa role model watu wengi walipenda sana Uinjilisti kuliko uchungaji au huduma za maombi na maombezi
Leo ni Ijumaa kuu tunapokumbuka mateso Yesu alipata tukumbuke pia mateso Moses Kulola alipitia na vizuri kila aliyehusika kumtesa kwa mawazo,kwa maneno au vitendo awe mtu binafsi au taasisi au kikundi kwa siri au kwa wazi au kwa kumuwazia au kumsema vibaya aombe msamaha kwa Mungu Ijumaa kuu hii na kuomba rehema za Mungu asamehe alete mwingine kama Moses Kulola.Sioni Nchi ku move forward kwa nguvu sana kwenye Uinjilisti kama kanisa halitafanya toba kwa madhira iliyompitisha Moses Kulola
Na kama Taifa tuombe Rehema za Mungu kama taifa tuhurumiwe sababu sio vizuri sana mtumishi mwenye nguvu kama yule kufia kwenye nchi yetu kwa mateso aliyopata ndani ya nchi.Nchi twaweza laanika kwa kuwajibika kwa kifo chake sababu alifia kwetu kwa mateso
Damu yake iko nchini kwetu Bugando ,Mwanza ,Tanzania
Nawatakia Ijumaa kuu njema