Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Kwani kilimpata nini huyu mzee?
Wanipe mimi mafunzo nianze kutangaza neno
Wanipe mimi mafunzo nianze kutangaza neno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm sio kikundi cha uovu mkuu..😂😂Yaani unasali huko kote lakini akili ziko CCM
Moses injili yake haikuwa kushawishi akiliNiseme tu, nyakati zimebadilika sana. Leo hii hata kama angekuwepo Moses Kulola bado angepata taabu sana kuhubiri aina yake ya Injili. Baada ya kuja uchafuzi wa Injili ya wasaka afya na mafanikio, masikio ya watu wote, wapagani, Waislamu kwa Wakristo wameelekeza mioyo yao huko. Ndio maana utaona wafuasi wengi wa akina kuhani Musa, Mwamposa nk ni Waumini wa imani tofauti. Wahubiri wanaofuata maagizo ya Kristo kwa kuhubiri toba wapi ila hawawezi kuwa na mega churches, ni makusanyiko madogo mno. Matapeli wa Injili ndio wanawake, sawa sawa na Kristo alivyosema itakuwa nyakati za mwisho.
Hivyo hoja sio Kulola kutokabidhi kipawa kwa sababu afanyaye hivyo ni Roho Mtakatifu wala si mwanadamu. Tatizo hapa ni watu kupenda mafundisho ya uongo. Nakumbuka kwenye uchaguzi wa mwisho kabla ya kifo chake kulikuwa na njama za maaskofu kumng'oa Kulola. Sasa ndio uone uasi ulianzia humo humo ndani, na hao waliotaka kumng'oa ndio wameshika kijiti hii leo. Kutwa kucha mahakamani kwa kesi za wizi na kugombania madaraka. Vipofu wanawezaje kuwaongoza vipofu wenzao?
Soma heading, Mwamposa sio muinjilist ni mtume na Nabii
Mwamposa kwako ni dereva bodaboda?
Yupo Mwalim Mwakasege!Nasali kwake Mwamposya huduma yake ni ya maombi na Maombezi sio Uinjilisti
Alipigwa na askari ambae SAwa na mwanae ndio ikawa chanzo cha kifo chake. Alifungwa sababu ya injili.Leta historia ya Moses Kulola hapa na maswahibu aliyokutana nayo mtumishi tujifunze...
Maana kule kawe mtume alipitia maswahibu ya kuuza matenga ili anunue raba mtoni.
Mwamposa mjasiriamali kupitia jina la Yesu ambalo ni vigumu kukubali kuwa yeye Mwamposa anamwamini Yesu
Mwamposa kwako ni dereva bodaboda?
[emoji23][emoji23]Huyo Moses Kulola kuja kumshinda Diana Bundala kwenye uinjilist May be aende direct mbingun kusoma gospel ndo aje ashindane. Yule mama ni shindikanaa coz yeye mbingun anaendaga daily
Perfect. Hata siku moja hawahamasishi watu watubu wamrudie Mungu.Nasali kwake Mwamposya huduma yake ni ya maombi na Maombezi sio Uinjilisti
Na wasingetokea kama ilivyo tabiriwa, biblia Ingekuwa ni kitabu cha uongoWengi sasa hivi wamekua ni wafanya biashara nawaita "wajasiliadini" kazi kuuza maji ya upako mafuta, sabuni, mara dawa za meno za upako na takataka zingine nyingi, makanisa machache yamebaki kuisema ile kweli ya Mungu na kuambia watu watubu dhambi zao
Eleza hiyo ndoto, we ni anonymous tujuehii ilisababishwa na mdogo wangu wa kike kuota ndoto nzito juu ya mwamposa.
Aiseee baada ya hapo nika relate ile ndoto na baadhi ya vitendo vya mwamposa madhabahuni
nika stop kuabudu kwake
Yaani alipigwa akiwa Mzee ama?Alipigwa na askari ambae SAwa na mwanae ndio ikawa chanzo cha kifo chake. Alifungwa sababu ya injili.
YesYaani alipigwa akiwa Mzee ama?
Mtu elimu hana connection hana anaambiwa toa sadaka ya kujimaliza kesho utapigiwa simu na mtu usiyemjua utapewa pesa usizozitegemea na lenyewe kama zuzu linaitikia amen amen!Na pia hautamsikia mwamposa akisema watu watubu dhambi, nakubaliana na
mleta maada,na si mwamposa tu siku hizi mafundisho ya Toba yamepotea sana , Kila mtu anazungumzia miujiza na mafanikio ya kimwili zaid