Tanzania haijapate Mwinjilisti Mwingine mwenye nguvu kitaifa kama Moses Kulola sababu aliondoka bila kukabidhi mtu kipawa alichokuwa nacho

Tanzania haijapate Mwinjilisti Mwingine mwenye nguvu kitaifa kama Moses Kulola sababu aliondoka bila kukabidhi mtu kipawa alichokuwa nacho

No Magembe yuko ki doctrines zaidi za dini tofauti na Kulola mhubiri wa wokovu sio dini au Bonke au Billy Graham waamini wokovu sio dini
Magembe dini iko mbele kama tai

Kwa uchungaji yuko OK

Uinjilisti bado


Uinjilist ndio kufanya kitu gani?? na uchungaji ni kitu gani??
 
Huyo Moses Kulola kuja kumshinda Diana Bundala kwenye uinjilist May be aende direct mbingun kusoma gospel ndo aje ashindane. Yule mama ni shindikanaa coz yeye mbingun anaendaga daily
Kumbe wanashindana mkuu....Nikajua wanaokoa roho zisipotee kilammoja kwa nafasi yake

kupata nafasi ya kwenda mbinguni ukiwa na mwili bado sio rahisi, hata kama upo na ukamilifu wa asilimia 100..... Kwasababu Mungu ndio hufunua mambo yake Kwa amtakae, kwakusudi fulani ..

Ilakusema kuna mtu anaingia mbinguni kilasiku hapana.
 
Aliisimamia injili ya kweli bado Mwaisabila anatembea kwenye misingi ya Kulola. Pana mwanachama mmoja wa freemason ndie aliyetumiwa na freemason kutaka kulikabidhi kanisa liwe chini ya freemason, sababu Limemtesa Sana shetani ana hasira nalo. Mungu aliingilia kati ule mgogoro uliisha
 
Nasali kwake Mwamposya huduma yake ni ya maombi na Maombezi sio Uinjilisti



Kabisa umenena vyema mno!

Pale intakiwa mtu aende akiwa amejaa mafundisho ya Neno la Uzima.

Lakini akienda beginner ni noma!

Utashangaa mtu anakiri Yesu lakini mambo madogo madogo tu yanamshinda kustahamili.

Anashindwa hata Na wasioamini fikiria.

Mtu anashindwa kusamehe Na kuachilia mambo madogo madogo!

Asusa kwenye mambo ya kawaida?!

Inamaana ufahamu wa mtu wa hivyo unakosa mafundisho.

Unamtaja Yesu lakini husalimiani wala kuongea Na jirani yako au ndugu ? [emoji848]
 
Wengi sasa hivi wamekua ni wafanya biashara nawaita "wajasiliadini" kazi kuuza maji ya upako mafuta, sabuni, mara dawa za meno za upako na takataka zingine nyingi, makanisa machache yamebaki kuisema ile kweli ya Mungu na kuambia watu watubu dhambi zao



Mimi nashauri walioko Karibu Na Mwamposa wambambie apunguze bei ya yake Maji yake !

Shilingi 1,000/- kwa chupa moja ni bei kubwa sana.

Auze shilingi 500/- kwa chupa.

Yeye si ananunua at large quantities kwa hiyo anapata “trade discount “

Kama anayatengeneza mwenyewe Pia bei iwe hiyo.

Afanye kama Kwa Bwana.

Nazani leo sio kufanya faida bali huduma zaidi.

Mbona maji “brands” nyingine wanauza bei ya shilingi 500/- sembuse kwenye huduma ya kiMungu?! Si inapaswa kuwa nafuu zaidi ilimradi awe ana braak even au kutengeneza faida kidogo!

Naomba mumfikishie huo ushauri.
 
Back
Top Bottom