Kwa Kosa Gani?
Mbona alikuwa Mzee sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Kosa Gani?
Unaweza kuweka historia yake japo kwa kifupi tukamfahamu?Alipigwa na askari ambae SAwa na mwanae ndio ikawa chanzo cha kifo chake. Alifungwa sababu ya injili.
No Magembe yuko ki doctrines zaidi za dini tofauti na Kulola mhubiri wa wokovu sio dini au Bonke au Billy Graham waamini wokovu sio dini
Magembe dini iko mbele kama tai
Kwa uchungaji yuko OK
Uinjilisti bado
Nishtue akiwekaUnaweza kuweka historia yake japo kwa kifupi tukamfahamu?
Kumbe wanashindana mkuu....Nikajua wanaokoa roho zisipotee kilammoja kwa nafasi yakeHuyo Moses Kulola kuja kumshinda Diana Bundala kwenye uinjilist May be aende direct mbingun kusoma gospel ndo aje ashindane. Yule mama ni shindikanaa coz yeye mbingun anaendaga daily
Ipo youtubeUnaweza kuweka historia yake japo kwa kifupi tukamfahamu?
Nitaitafuta nisikieIpo you
Ipo youtube
Shetani alitumia mawakala zake Ili kuhakikisha anamzima Kulola,walifundisha injili ya kweli ile ya watu kuacha dhambi.Kisa chake kipo youtube.Kwa Kosa Gani?
Mbona alikuwa Mzee sana
Naona amenielekeza YouTube,nitaenda huko niisikieNishtue akiweka
Ndio maanaNdio
Hahahahaaa hahaha huko anakosali ndio kwenye vikundi vya uovu?Ccm sio kikundi cha uovu mkuu..😂😂
Soma heading, Mwamposa sio muinjilist ni mtume na Nabii
Mchungaji Moses Magembe ana mielekeo ileile kama mzee Kulola.
Nasali kwake Mwamposya huduma yake ni ya maombi na Maombezi sio Uinjilisti
Ndoto gani hiyo?hii ilisababishwa na mdogo wangu wa kike kuota ndoto nzito juu ya mwamposa.
Aiseee baada ya hapo nika relate ile ndoto na baadhi ya vitendo vya mwamposa madhabahuni
nika stop kuabudu kwake
Wengi sasa hivi wamekua ni wafanya biashara nawaita "wajasiliadini" kazi kuuza maji ya upako mafuta, sabuni, mara dawa za meno za upako na takataka zingine nyingi, makanisa machache yamebaki kuisema ile kweli ya Mungu na kuambia watu watubu dhambi zao