Tanzania imefeli vibaya kwenye vituo vya reli ya kisasa(SGR)

Dah haya madini na nondo unazoshusha injinia ni za hatari aisee.

Weka vocha kwenye simu yako ama agizia chochote leo kisichozidi 50K nitalipa
 
Hawepo asiwepo sidhani kama ni la maana
Nadhani mada ndo ya maana
Wengi we dont care kama yupo au hayupo
Ila kikubwa ni wajitahidi vituo viwe na adhi ata miaka 50 ijayo
Quality is always quality
Ukiharibu sehem itakughalim mbelen
Yeye kasema ni site engineer kwenye huu mradi. Kajifanya site engineer ili aaminike! Angesema yeye ni mdau tu anayefuatilia mambo yanavyokwenda kwenye mradi wa sgr angeeleweka, badala ya kujiita site engineer!
 
Pengine haujawahi kuajiriwa kwenye multinational/Public Institutions.
Hapa kunasuala la 'ethics' na 'unauthorised disclosure of information'.
Vitu hivi usipokuwa maakini vinaweza kukuondolea sifa ya kusogea na ukaona wa nyuma yako wanasogea wakati wewe ukipiga mark time.
 
Hasante mkuu hapa watu wananishambulis tu wakati mimi ni mzarendo tu ata ukipitia threads Zungu za zamani
Nime appreciat mkuu. Endelea na kazi ya kutujuza. Usiogope. Ni wajibu wako. Sioni sababu ya wao kuficha picha za majengo ya Stations ambazo zinatumia hela zetu. Sisi nasi tuna wajibu wa kuchangia katika mwonekano wa stations zetu ni kitu cha kawaida na sio kufanya hivyo ni kuviolet sheria.

Asante sana na kama watakufukuza kazini watanzania tutakutolea mchango wa costs za mashtaka. Washtaki kwa kudai haki zako. Na nakueleza kama nchi huifuati policy ya kidikteta utashinda tu. Hawana sababu ya kutuficha. Huyo ni uzalendo unao ufanya.
 
you have nailed it so deep bro. akijibu hoja zako kwa ufasaha na utulivu bila jazba nitag.
 
Eti Engineer hata kujieleza huwezi!!? Ungetueleza kisomi basi ili tupime unachoongea kama ni kweli ama la. Elezea ubaya wake ni nini kwa kuweka facts za maana basi?
 
Hatubabaishwi na maneno ya wababaishaji, tunasonga mbele; HAPA KAZI TUUU!
Picha: Mhandisi mshauri na mkandarasi wakiwa kazini mradi wa SGR (Lot 1 Dsm - Moro)

 
Haaaaaaaaaaaaa unaumwa wewe mungu ananiona me sio dereva, na ukimsingizia huyo jamaa wakamfukuza kazi hakika utakuwa umechuma zambi ya bure me sio dereva na haitatokea
Kwa uandishi wako huu ni ushahidi kwamba kweli wewe ni engineer!
 
Aisee, tupe picha ya station ya kufanana na kilemba na ya Tanzanite.
Tanzania [emoji1241] yangu.
Cuttle boy anafikiti train ya SGR itakuwa kivutio cha utalii.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mtoa post unazingua " sasa hapo kilichokukera nini " hao ma engineer ku design vituo vyenye muonekano wa maliasili zetu na tamaduni ya mavazi ya kiafrica au ni nini !!? Wewe ulitaka wa _design katika muonekano wa nchi za kimagharibi sindio ".... Mimi nimependa hiyo idea yao " maana hayo majengo yatakuwa yana tukumbusha umuhimu wa kuthamini vya kwetu na kutuasa tuache kutukuza tamaduni za watu "..... wape kongole viongozi wote walio pendekeza hilo "..... !!
 
Wasafiri hawataki mbwembwe..Cha msingi huduma ya SGR yenyewe ndio iwe bora.
Mambo majengo sijui yawe vile sijui hivi,kwani tunalala hapo?
Subiri siku yako, watu wanalala airports ije kuwa vituo vya reli? Ngoja ikiharibika njiani
 
Ujenzi Wa majengo ya jumuiya hauhitaji mbwembwe.. Maana ujue mwisho wake sio ujenzi.. Ni maintenance na usimamizi wake kwa ujumla.

Usidesign ku-please macho.. Public funds zinakazi nyingi na mojawapo sio kufanya ufurahie kwa kuona. So decent design, simple to implement ..easy to maintain.

Mfanyabiashara yeyote has a wale Wa majengo uzuri ni factor ila sio only important factor. Urahisi Wa utekelezaji nausimamizi ni factor muhimu zaidi.

Hao wanaotaka kupaka Rangi na kuweka marembo mengi yasiyokuwa na significance other than pleasing the eye waachwe wafanye hivyo.

Ila Tanzania imeutazama mradi kwa namba inayotakiwa.
 
Suala siyo kubebwa . Hivi nikuulize swali- Iwapo wewe unajenga nyumba yako halafu anatokea mfanyakazi wako wa ndani anaiponda nyumba hiyo akiwa kijiweni na washikaji zake utamfanya nini?
Sio mfanyakazi wa ndani, ni fundi wako professionally anakushauri ubadili vitu flani kwenye project yako then unakuwa mkali hutaki ushauri, mi nimeuelewa uzi hvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…