Tanzania inabidi ijifunze namna ya kuendesha nchi na kuleta maendeleo kwa muda mfupi kutoka China

Tanzania inabidi ijifunze namna ya kuendesha nchi na kuleta maendeleo kwa muda mfupi kutoka China

Katiba mpya
Katiba mpya ni 1 , 2 inapaswa kuwa ni kufumuliwa kwa mfumo mzima wa utawala kuanzia head of state mpaka mjumbe wa nyumba kumi , 3 Mfumo mpya usukwe utakao kuwa tayari kuwajibishwa na katiba pale utakapo enda kinyume na matakwa ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Wakati mwengine nafikiri inatubidi baadhi ya desturi ziwekwe chini kwa mfano: Tamaduni zetu kumkosoa mkubwa hata kama kwa staha utakumbwa na tatizo.

Nachelea kusema ila viongozi wenye mamlaka ni tatizo kuu! Ukijaribu kuweka mambo sawa ni tatizo.

Nakumbuka baba yangu aligawa mabati kwenye shule fulani baada ya kuona mazingira ya hiyo shule hayapo vizuri, mbunge wa hilo jimbo akahisi Mzee anajiandaa ili achukue kiti chake.
Mkuu umesema Kweli kabisa ukisema utoe msaada wanasema unajitengenezea njia ya kuchukua nafasi katika uongozi Yaani Hii kitu umenikumbusha mbali sana , Mzee wangu alifanya kitu ktk sehemu ambayo ameishi Kwa takriban miaka 55 yaani ghafla tuu mambo ya imani za kishirikina zikawa zinaonekanika maeneo yetu ya nyumbani Yaani kisha tuu Mzee kajitolea kuchangia community yake
 
Back
Top Bottom