DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
- Thread starter
- #41
Katiba mpya ni 1 , 2 inapaswa kuwa ni kufumuliwa kwa mfumo mzima wa utawala kuanzia head of state mpaka mjumbe wa nyumba kumi , 3 Mfumo mpya usukwe utakao kuwa tayari kuwajibishwa na katiba pale utakapo enda kinyume na matakwa ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Katiba mpya