Tanzania inabidi ijifunze namna ya kuendesha nchi na kuleta maendeleo kwa muda mfupi kutoka China

Katiba mpya
Katiba mpya ni 1 , 2 inapaswa kuwa ni kufumuliwa kwa mfumo mzima wa utawala kuanzia head of state mpaka mjumbe wa nyumba kumi , 3 Mfumo mpya usukwe utakao kuwa tayari kuwajibishwa na katiba pale utakapo enda kinyume na matakwa ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Mkuu umesema Kweli kabisa ukisema utoe msaada wanasema unajitengenezea njia ya kuchukua nafasi katika uongozi Yaani Hii kitu umenikumbusha mbali sana , Mzee wangu alifanya kitu ktk sehemu ambayo ameishi Kwa takriban miaka 55 yaani ghafla tuu mambo ya imani za kishirikina zikawa zinaonekanika maeneo yetu ya nyumbani Yaani kisha tuu Mzee kajitolea kuchangia community yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…