Warabu sasa wamepata kichaka chao cha kujipitishia mizigo kinyemela kuja hapa nchini.

Nawaza jinsi wafanyakazi wa kitz kwenye hiyo bandari watakavyonyanyasika chini huyo mwarabu koko wa Samiya
Ngoja alili ziwakae sawa. Hao watz ccm wameendesha miaka nenda rudi mbona imewashinda kuendeleza?
 
serikali haiwezi kufanya biashara acheni wawakabidhi wawekezaji muhimu kuwe na ufuatiliaji na usimamizi wenye tija..
Uwekezaji wakubadilishana gololi kwa dhahabu mpaka leo ndio unaosikitisha.

Hakuna miujiza yoyote, kinachohitajika hapo ni extra cranes; hizo ndio zinapakuwa na kupakia mizigo.

Mengine yote magumu na yaliyokuwa ya gharama yatakayowezesha bandari kupaki meli nyingi kwa wakati mmoja na sehemu ya kuweka mashehena serikali ishatumia mabillioni kufanya huo uwekezaji.

Kilichobaki ni baadhi ya hizo cranes tu za kisasa ambazo azitoshi; zikipatina baada ya hapo it’s not rocket science on how efficient bandari itakavyokuwa, uhitaji mwekezaji kufanya hiyo kazi.

Mwisho wa siku sina tatizo vile serikali ku outsource sehemu ya hizo huduma, shida ni kutuka kujua return ya hao wawekezaji na kwa miaka mingapi watavuna; kwa hiko kidogo wanachoenda wekeza.
 
Ndiyo maana wawekezaji wajanja hawawezi ingia huu mtego maana ni hasara mbeleni.

Hakuna hasara hapo ni kuvuna tu, msikilize mkurugenzi wa bandari mpaka mwisho uone huu utapeli wanaotaka kuufanya na yeye akiwa sehemu ya majizi.
 
Hao DP hawataki kuchukua nchi yote ya Tanzania?? Ingekuwa vema wakapewa Tanzania yote waiendeshe/waiongoze.
 
Bandari ya Dar es salaam imefanyiwa uwekezaji mkubwa sana na Serikali ya awamu ya tano.
Hapa wangesema huyo mwekezaji anakuja na nini mezani na kwa mda gani ,na kwetu anategemea kupata faida gani na ssisi tutapata faida hani...
Na vipengele vya mkataba husika.
Nnje ya hapo ni wizi tu na siasa zisizo na maendeleo kwa nchi.
 
Acha uongo USA almost ports zote zipo chini ya Serikali.
 
Ni zamu ya wajomba hii.

Kwa Zanzibar wameshapewa shughuli hapo airport.
 
Yaani Dubai waje kuendeleza bandari Tanzania??

Huu ni ulemavu wa aina Gani lakini??

Hawa wasomi wanaomaliza vyuo kila siku wanafanya nini na elimu zao??

Mbona huko ulaya hawatuiti tukaendeleze za kwao??
Taifa la wajinga hili, kila mtu akipewa kazi anaanza mipango ya wizi badala ya kuonyesha ubunifu wa kujenga taasisi au nchi.
 
Hilo jinga limekufa kwa ubwege wake na ushamba
 
Dah!...
 
Kwa aina ya bunge letu ndio imeshapita hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…