Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja alili ziwakae sawa. Hao watz ccm wameendesha miaka nenda rudi mbona imewashinda kuendeleza?Warabu sasa wamepata kichaka chao cha kujipitishia mizigo kinyemela kuja hapa nchini.
Nawaza jinsi wafanyakazi wa kitz kwenye hiyo bandari watakavyonyanyasika chini huyo mwarabu koko wa Samiya
UmeonaeeWavivu,wezi mnawekwa chonjo
Acheni wazee wa kazi waje
Ova
Uwekezaji wakubadilishana gololi kwa dhahabu mpaka leo ndio unaosikitisha.serikali haiwezi kufanya biashara acheni wawakabidhi wawekezaji muhimu kuwe na ufuatiliaji na usimamizi wenye tija..
Ndiyo maana wawekezaji wajanja hawawezi ingia huu mtego maana ni hasara mbeleni.
Acha uongo USA almost ports zote zipo chini ya Serikali.Acheni ujima nyie,huko ulaya kwenyewe bandari zinaendeshwa na wawekezaji na sio serikali,hao DP world wanaendesha bandari nyingi tu ulaya yan mje kulalamika kwa iko kibandari chenu uchwara,ngojeni waje hao DP muone kama kuna meli itakaa bandarini siku 3 au wiki kule out anchor kusubiri kuingia bandarini,hao meli ndani masaa tu ishadischarge na kuondoka na nyingine inaingia,acheni upuuzi na ujuha
Umevurugwa itakua,wapi nimeitaja usa!?Acha uongo USA almost ports zote zipo chini ya Serikali.
bandari znz mbona wameitoa kwa kampuni inaitwa aglNi zamu ya wajomba hii.
Kwa Zanzibar wameshapewa shughuli hapo airport.
Boss,bandari znz mbona wameitoa kwa kampuni inaitwa agl
Taifa la wajinga hili, kila mtu akipewa kazi anaanza mipango ya wizi badala ya kuonyesha ubunifu wa kujenga taasisi au nchi.Yaani Dubai waje kuendeleza bandari Tanzania??
Huu ni ulemavu wa aina Gani lakini??
Hawa wasomi wanaomaliza vyuo kila siku wanafanya nini na elimu zao??
Mbona huko ulaya hawatuiti tukaendeleze za kwao??
Hilo jinga limekufa kwa ubwege wake na ushambaHii Inji ya kijinga kweli , Sijui kwann JPM alofariki.
Ni hasara sana Nchi kutongozwa na Vilaza wasokua na ubunifu ,na ambao akili zao zote zimeelekes kwenye kubebwa bebwa na misaada..
Sasa DSM anapewa mwarabu, Bagamoyo Mchina...
Katika Mataifa ya wenye Akili, Kuna Mahali ni LAZIMA paendeshwe na Serikali , ni LAZIMA.
Hama nchiTaifa la wajinga hili, kila mtu akipewa kazi anaanza mipango ya wizi badala ya kuonyesha ubunifu wa kujenga taasisi au nchi.
Dah!...Yaaanii me nashanga...wamegharamiikia kuongeza gati wamenunua na mshine za kisasa (ship to shore gantry crane) na hazijaanza ata kaziii ndo kwanzaaa zinamalizikia installation na wametumia gharama kubwa sana kununua izo mashine mpk walipeleka watu trainning ireland..leo wanabinafsisha kwelii?? dah
Kwa aina ya bunge letu ndio imeshapita hiyo.Serikali imefanya kazi kubwa kuwekeza mabillioni ya hela kuongeza kina cha kupokea meli; sasa hivi bandari ya Dar inaweza pokea meli ya ukubwa wowote.
Shughuli iliyobaki ni ndogo ya kuongeza cranes za kisasa za kutolea mizigo kwa kasi nchi ipate hela zote hizo wenyewe; muda huo ndio wanaenda tafuta mwekezaji.
Only in Tanzania
serikali haiwezi kufanya biashara acheni wawakabidhi wawekezaji muhimu kuwe na ufuatiliaji na usimamizi wenye tija..