Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam
Serikali ilijenga gati 1 tu thamani ya tirioni 1 sasa yanatakiwa magati 6 dawa tirioni 6 je serikali hela hizo kwa sasa hinazo?
Kama hizo Hela hatuna ndio wauze bandari

Kwanini tusiingie PPP... Mbona miradi mingi serikali imefanya PPP ila bandari mnataka kuiuza
 
Serikali ilijenga gati 1 tu thamani ya tirioni 1 sasa yanatakiwa magati 6 dawa tirioni 6 je serikali hela hizo kwa sasa hinazo?
Serikali imeongeza uwezo wa kina kwa magati yote ili iweze pokea meli ya ukubwa wowote. Hilo TPA washaelezea. Changamoto ipo bado upande wa kutoa mizigo na issue ni cranes za kisasa; wanazo tatu mpya tayari ila hazitoshi mkurugenzi wa Dar Port kuelezea yote hayo na video picha kaweka.

Ni hivi tuukubali au kuupinga; mradi kwa facts zilizopo. Na hakuna ubaya kubadili mawazo with new information kama nilivyo fanya. Ila habari za upotoshaji ndio huwa sipendi kama unavyotaka kufanya. Hizo cranes tatu unapata kwa tsh 70 billion, yote hayo TPA wameeleza, sema wanajitaji nyingi kila berth kuwa na tatu.
 
Kama kawaida. Huyu chawa mwenye uroho wa hela. Yupo kimya utadhani kafa. Usikute kasha ungana na King Msukuma kuvuta millio 500.

Ole wao wala rushwa waongee kesho Bungeni!!
1686334427563.jpg
 
Msidanganyike.

Mkataba huu wa DP World na serikali yetu haungeweza kupenya kwenda Bungeni au hata hata Mbarawa kuusaini bila ya baraka za BARAZA LA USALAMA LA TAIFA. Mnaohoji nafasi za majeshi yetu kwenye haya madhila msiumize vichwa sana. Jambo nyeti kama hili haliwezi kupenya bila hiyo caucus ya nchi kuweka baraka zake....

Fahamu wajumbe wa Baraza hilo ndo utajua utiifu na uaminifu wa Jeshi letu lote kwenye maamuzi hayo.

Hata mng'ate na kusagasaga meno, hakuna litakalobadilika.

Mabadiliko ya Sheria ya TISS hayakuja kwa ajali, walijua kuna sisi wahuni tutakaohoji uzwazwa unaofanywa wa kuuza nchi kinyemela, hivyo ajali za bahati mbaya zitatumika kama kinga ya kutoshtakiwa.

Katiba ya Nchi inasema, hukumu husomwa na Mahakama kabla haijatekelezwa. Sasa hao magaidi wanaopaswa kuuawa na wanausalama wameshahukumiwa na mahakama ipi?

Mwenye akili afahamu
 
Muda utaongea, muda ni rafiki mzuri asiye na adui katu. Kichwa cha uzi kinajieleza.

Wabunge wetu hawakufanya swot analysis, mihemko iliwaongoza. Wengi wamechambua positive and negative ila ukweli ndio huo.
 
"Tatizo tulilo nalo sasa hivi ni kwamba wananchi hawawakilishwi ndani ya Bunge kwa kuwa hakuna mstari wa moja kwa moja kuonesha kwamba wabunge wamechaguliwa na wananchi, kuna wale wabunge 19 sijui wanawawakilisha nani? Na wale waliopita bila kupingwa sijui nao pia wanamuwakilisha nani?" Jenerali Ulimwengu, mchambuzi wa masuala ya siasa.



Take
Mwaka 1992 Rais Mwinyi aligawa Loliondo kwa Waarabu kwa makataba wa kimangungo. Mwinyi amejutia uamuzi ule kwenye kitabu chake (Mzee Rukhsa).

2023 Rais Samia anawapa bandari Waarabu kwa aina ileile ya mikataba.

Ni Wazanzibar na Waarabu dhidi ya Tanganyika?
 
Mie nachokiwaza ni kwamba:

Katika hali ya kawaida tu ni mtu gani ambaye hapendi mafanikio yaende kwao?
Kwamba nami sitaki mafanikio yaende nyumbani?
Nitakuwa kichaa

Swali la msingi:
Japokuwa kuna mambo ya Muungano na yale yasiyo ya Muungano

Ikiwa kweli hao viongozi akiwemo huyo Rais na Mbarawa
wanaamini kuwa kwa kufanya hicho walichokifanya kitaongeza Mapato, ajira, ufanisi na ujuzi kwa wazawa na nchi kwa ujumla wake.

Je, kwanini na znz pia Bandari zake wasingeipatia hiyo Dubai?

kwanini wasingemwambia Rais Mwinyi kuwa tunahitaji znz watu wetu nao pia wapate ajira, ujuzi, ufanisi na mapato?

Ila kwa kuwa wanajua ukweli uliopo nyuma ya pazia ndiyo maana hawawezi shauri jambo kama hili znz

Hapa ndipo watu tunasema kuhusu uzanzibar na utanganyika!

ndani ya siku 1 unasaini mikataba 37 Dubai

Kweli Jambo la kheri msishauri na upande wenu wa znz wafanye hivyo ili nao wanufaike?
Nani hataki faida au manufaa yaende kwao?


hata sijui
Tulimkosea nini Mungu wetu
 
Muda utaongea, muda ni rafiki mzuri asiye na adui katu. Kichwa cha uzi kinajieleza.

Wabunge wetu hawakufanya swot analysis, mihemko iliwaongoza. Wengi wamechambua positive and negative ila ukweli ndio huo.
Tuishi
Tutayaona zaidi ya haya
 
Kuna haja sasa mambo ya Tanganyika ndani ya Muungano yashughulikiwe na Watanganyika wenyewe.Na iwe mwisho Wazanzibari kuteuliwa kwenye mambo ambayo siyo ya Muugano.Watanganyika hatupati kazi za SMZ iweje wao wapate kazi ambazo si za Muungano?
 
Ikiwa ni kinyume na Taratibu zote zinazo husiana na masuala ya zabuni, serikali ya Tanzania haikutoa Tangazo wala kufanya ushindanishaji wowote kumpata muwekezaji bora. Haya yamebainishwa na waziri muhusika katika kikao na viongozi wa dini hapo jana.

Amebainisha kuwa utaratibu ulio tumika ni kumpata muwekezaji bora mwenye uzoefu na masuala ya bandari.
Ikumbuke kuwa serikali ya Tanzania imekuwa makini sana kuhimiza taratibu za matangazo na ushindanishwaji katika mambo Madogo kama ununuzi wa kalamu, vyakula na ujenzi wa vyoo shuleni lakini bandari imewekezwa bila kuzingatia utaratibu huo.

Kwa maoni yangu mkataba wa DP word ni batili. Kufuatia kihoja hicho viongozi wa Dini walimtaka muheshimiwa huyo kulizungumzia suala hilo kwa wananchi ambao wanahofu.

Chanzo: Tamko la Katibu TEC
 
Sasa Watanganyika wanaongea lugha moja bila kujali vyama vyao.

Ila majimboni kuna moto mkubwa wabunge wakifika huko wakatafute kazi za kufanya.
 
KATIBA mpya inaandikwa Kwa Wino wa Dhahabu.

Makada watiifu ccmmm na CDM, ACT, na wananchi wote Kwa ujumla wao wameungana kupinga Bandari zetu kugawiwa wageni.

Juzi ilikuwa KARIAKOO, Leo bandari, kesho itakuwa wap???

UMOJA huu na udumu Kwa maslah ya Taifa, mgawanyiko kiitikadi ulituchelewesha sana.

Tusubiri.
 
Back
Top Bottom