Tanzania Kinara wa Kupokea hela za msaada kutoka USAID Afrika nzima. Yasemekana tutaathirika sana

Tujiandae kwa changamoto mbele ya safari. Tuwe na nidhamu ya matumizi ya hela za makusanyo yetu. Mtegemea cha ndugu hufa maskini.
Tunaanza kukwama kama hawa wafadhili wakigoma
 
Yap hiyo MCC naikumbuka na ilikuwa inatupushi sana hapa nchini kwenye issues za kiuchumi na kijamii.
 
Hizi fedha nyingine zinaenda sekta ya afya lakini wanawake wanaoenda kujifungua wanaambiwa warudi waumezao wakawazalishe kwani hata surgical gloves hazipo, dah πŸ€” kweli kuna mabingwa wanakula kwa urefu wa kamba zao na kamba zao ni ndefu mno.
 
Hawana maana hao ndio maana Mwendazake alitaka kuwafuta.GAP gani zaidi ya kula hela za misaada?

Hao watu Serikali ilisema wapitiehie hela kwao na zikaguliwe wakagoma so hapa Trump kufanya vizuri mnooo.
Serikali ilibanwa isiweze kuzipiga na iliumia sana(wale waliotegemea kuwa wanazimega na kuzitafuna walichukia mno) ila NGO zimeajiri watu wengi na circulation ya fedha inakuwa iko na uafadhali, zikiwa chini ya usimamizi wa serikali zitapelekwa sehemu zisizo sahihi.
 
Hizi fedha nyingine zinaenda sekta ya afya lakini wanawake wanaoenda kujifungua wanaambiwa warudi waumezao wakawazalishe kwani hata surgical gloves hazipo, dah πŸ€” kweli kuna mabingwa wanakula kwa urefu wa kamba zao na kamba zao ni ndefu mno.
Kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…