eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Hukuona arv za kugawa?Hiyo misaada iliwafikia walengwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukuona arv za kugawa?Hiyo misaada iliwafikia walengwa?
Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa.
Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi zitakazo athirika kutokana na Hatua ya Donald Trump na Elon Musk kusitisha misaada hiyo.
Gazeti hilo limeleza Tanzania yenye watu Milioni 65 linapokea kiwango sawa na Nigeria yenye watu 220Milioni.
Kalagha Bahooo........Hizi hela huwa zinaenda wapi mbona ni nyingi sana?View attachment 3224545
Wezi wako NGOs na wale mabosi huko wizarani wa kujilipa mahela ya Bure
Safi sana Trump FUTA hizo takataka zao 👇👇
View: https://x.com/Maina_Poultry/status/1886301394438685054?t=0xOi9-AnX516rP5tzMtgBQ&s=19
Yap hiyo MCC naikumbuka na ilikuwa inatupushi sana hapa nchini kwenye issues za kiuchumi na kijamii.Tanzania tulikuwa tunapata hela za directly kuingia Serikalini wakati wa JK via MCC ila tulishaondolewa pale ndiko tulijenga Barabara,umeme nk
Baada ya hapo ni stori za uongo na ukweli via NGOs which has no significance Kwa Government.
Mwisho hiyo ni Trilioni 1 tuu ,Sasa Tanznaia inashindwaje ku cover hela ndogo kama hiyo?
Hizi fedha nyingine zinaenda sekta ya afya lakini wanawake wanaoenda kujifungua wanaambiwa warudi waumezao wakawazalishe kwani hata surgical gloves hazipo, dah 🤔 kweli kuna mabingwa wanakula kwa urefu wa kamba zao na kamba zao ni ndefu mno.Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa.
Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi zitakazo athirika kutokana na Hatua ya Donald Trump na Elon Musk kusitisha misaada hiyo.
Gazeti hilo limeleza Tanzania yenye watu Milioni 65 linapokea kiwango sawa na Nigeria yenye watu 220Milioni.
Kalagha Bahooo........Hizi hela huwa zinaenda wapi mbona ni nyingi sana?View attachment 3224545
Serikali ilibanwa isiweze kuzipiga na iliumia sana(wale waliotegemea kuwa wanazimega na kuzitafuna walichukia mno) ila NGO zimeajiri watu wengi na circulation ya fedha inakuwa iko na uafadhali, zikiwa chini ya usimamizi wa serikali zitapelekwa sehemu zisizo sahihi.Hawana maana hao ndio maana Mwendazake alitaka kuwafuta.GAP gani zaidi ya kula hela za misaada?
Hao watu Serikali ilisema wapitiehie hela kwao na zikaguliwe wakagoma so hapa Trump kufanya vizuri mnooo.
Kazi kweli kweliHizi fedha nyingine zinaenda sekta ya afya lakini wanawake wanaoenda kujifungua wanaambiwa warudi waumezao wakawazalishe kwani hata surgical gloves hazipo, dah 🤔 kweli kuna mabingwa wanakula kwa urefu wa kamba zao na kamba zao ni ndefu mno.
Usiwasikilize wanafiki nduguMabeberu 😄 kwahiyo Wasira anatudanganya kumbe wao ndio serikali ya upinde ili wapate misaada
😅😅😅😅Zinatumika muda huu hapa Dodoma kwenye tamasha la After Marathon kuwalipa wasanii...
Mnapokea misaasa kulipa madeni?Sio mbaya! Msaada wa fedha tunaokopeshwa sindio tunalipia hayo maden ya huo mkopo?
Hakuna wa kutupangia hata kesho achana na Leo 👇👇Sasa kwa nini walijitapa wasipangiwe cha kufanya, siku ile kwenye hotuba zao 🤔🤔.???
Au siyo? 👇👇Zinatumika muda huu hapa Dodoma kwenye tamasha la After Marathon kuwalipa wasanii...
Upuuzi tuu hakuna kitu.Wa kutubabaisha hayupoSerikali ilibanwa isiweze kuzipiga na iliumia sana(wale waliotegemea kuwa wanazimega na kuzitafuna walichukia mno) ila NGO zimeajiri watu wengi na circulation ya fedha inakuwa iko na uafadhali, zikiwa chini ya usimamizi wa serikali zitapelekwa sehemu zisizo sahihi.
Hakuna hela inaingia huko kwenye NGO bila mkono wa sele kaliLakini hizo hela 80% haziingii Wizara ya Afya Bali zinapitia vi NGOs uchwara so hata wakikata hakuna shida
Hakuna wa kutupangia hata kesho achana na Leo 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFpg0vRMQaW/?igsh=cGdweDRidjNyM3I=