Tanzania Kinara wa Kupokea hela za msaada kutoka USAID Afrika nzima. Yasemekana tutaathirika sana

Na wanachoamini mabeberu ni kuwa afadhali ku fund NGOs fedha zinaweza kutumika vizuri kuliko kuwapa serikali, ujue hawa wazungu wanaziona serikali zetu kama tu organized criminals.
Wewe uko hapa Tanzania Huwa zinatumika vizuri na hao NGOs?

Magufuli alitaka kuwafuta

Mwigulu alitaka wapitishie hela Serikali for monitoring ila wakapiga makelele ikaishia.

Trump futa huo ujinga,wanakula tuu hizo hela hakuna wanachofanya
 
Inaonekana kama hauna taarifa za kutosha kuhusu kazi wanazofanya NGOs, generally kuzuia funding kwa NGOs kwa gafla namna hii kutakuwa na implications kubwa zaidi kwa jamii kuliko unavyofikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…