Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
-
- #81
Hizo Bajeti zenu za Kwenye MakaratasiTanzania tulikuwa tunapata hela za directly kuingia Serikalini wakati wa JK via MCC ila tulishaondolewa pale ndiko tulijenga Barabara,umeme nk
Baada ya hapo ni stori za uongo na ukweli via NGOs which has no significance Kwa Government.
Mwisho hiyo ni Trilioni 1 tuu ,Sasa Tanznaia inashindwaje ku cover hela ndogo kama hiyo?
Hili tukio lilipambwa sana na kuaminishwa kuwa MSD itafanya maajabu ya kusambaza madawa nchi 16 za SADC, tathmini yake baada ya miaka sita kupita ikoje? 😲
Makaratasi yapi Sasa? Kwamba wewe ukienda hospital hakuna dawa,hakuna majengo ,unapata nk Kwa sababu Bajeti ni makaratasi au uma maanisha nini?Hizo Bajeti zenu za Kwenye Makaratasi
Uchumi wa kila mtu uko connected... inawezekana hao wanaofanya kazi kwenye "NGO" uchwara ndio wateja wako au wa ndugu zako 😂😂😂Lakini hizo hela haziingii Wizara ya Afya Bali zinapitia vi NGOs uchwara so hata wakikata hakuna shida
🚮🚮 Labda uchumi wako na hao matapeli wenzio ndio Mko connected na hela za wafadhili mnazopiga.Uchumi wa kila mtu uko connected... inawezekana hao wanaofanya kazi kwenye "NGO" uchwara ndio wateja wako au wa ndugu zako 😂😂😂
Kazi inaendelea,hiyo video ni ya mwaka JanaHili tukio lilipambwa sana na kuaminishwa kuwa MSD itafanya maajabu ya kusambaza madawa nchi 16 za SADC, tathmini yake baada ya miaka sita kupita ikoje? 😲
Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa.
Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi zitakazo athirika kutokana na Hatua ya Donald Trump na Elon Musk kusitisha misaada hiyo.
Gazeti hilo limeleza Tanzania yenye watu Milioni 65 linapokea kiwango sawa na Nigeria yenye watu 220Milioni.
Kalagha Bahooo........Hizi hela huwa zinaenda wapi mbona ni nyingi sana?View attachment 3224545
Hela za MSAADA tunalipa gharama za kampeni, tume isiyo na majibu ya kuchunguza kifo cha Mzee Kibao, Posho za Abduli etc tutanyooka awamu hii.
Lakini hizo hela haziingii Wizara ya Afya Bali zinapitia vi NGOs uchwara so hata wakikata hakuna shida
Watu wapuuzi walikuwa wanalipana posho tuu hizo hela,Bora zikatwe na nimewahi weka Uzi humu Jf.
Siamini chochote kinachopangwa na Serikali zetu hizi za kienyeji ...mbaya zaidi maisha ni lazima yaendelee! 🤓Braza unaziamini zile ngonjera
Lakini hizo hela haziingii Wizara ya Afya Bali zinapitia vi NGOs uchwara so hata wakikata hakuna shida
Mifukoni mwaoKwani hizo NGO zinaingiza Nchu ya Burundi?
Unajitoa ufahamu?Nazifahamu lakini ni sehemu ndogo ya hela huko.
Mwisho kwani Trump akikata hizo pesa zote,Tutashindwaje Sasa ku cover Trilioni 1 tuu? Hela ndogo sana hiyo Wala haiwezi yumbisha Serikali
Na nani? USAid au Serikali ya America?bado 2023 tulisaini mkataba wa miaka 5 wa 1.1 bilion $ kwenye sekta ya elimu,maendeleo,democracy
Wanasiasa wa Serikali hawalipani posho wanapofanyia vikao vyao Dar badala ya Dodoma??Watu wapuuzi walikuwa wanalipana posho tuu hizo hela,Bora zikatwe na nimewahi weka Uzi humu Jf.
Ndio ukweli huo.Sasa wewe Kwa akili Yako unadhani Nchi itashindwa au? Si unapunguza tuu Baadhi ya maeneo na kuleta huku ama? Eg kwenye BarabaraUnajitoa ufahamu?
Tatizo huna akili na hujijui kuwa huna akili popoma weweLakini hizo hela haziingii Wizara ya Afya Bali zinapitia vi NGOs uchwara so hata wakikata hakuna shida
Ndio zimefutwa Sasa ,umeona watu wamekosa ARVs? Au mnalilia hela za Bure mlizokuwa mnakula?Tatizo huna akili na hujijui kuwa huna akili popoma wewe