Tanzania Kinara wa Kupokea hela za msaada kutoka USAID Afrika nzima. Yasemekana tutaathirika sana

Zinatumika kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na ;
1. Kulipa posho za watekaj
2. Kulipa machawa wajenge maghorofa.
3. Kununua wapinzani.
4. Kununua mitungi ya gesi na kuigawa kwa Watanzania maskini Ili wabashane kwa kura.
5. Kununua V8's new model
8. Kumpa Wasira mabulungutu atembee nayo.
9. Kumpa Addul awatulizie wenye mdomo
 
Ccm iwekwe pembeni wameshindwa kazi, nchi inaaibika kwa misaada ya mabeberu wakati kuna rasilimali za kutosha kiasi cha kutotegemea misaada hiyo. Kije chama kingine chenye viongozi wenye sera mpya za kutumia rasimali za nchi kujitegemea
Lissu peke yake ndie ataweza.
 
Ccm iwekwe pembeni wameshindwa kazi, nchi inaaibika kwa misaada ya mabeberu wakati kuna rasilimali za kutosha kiasi cha kutotegemea misaada hiyo. Kije chama kingine chenye viongozi wenye sera mpya za kutumia rasimali za nchi kujitegemea
Kwanza lazima muelewe kwamba sio Kila Msaada Nchi inaomba ila misaada Mingi wanatoa wenyewe Kwa sababu 🇹🇿 inachukukiwa kama mashirika wa kimkakati so lazima tugombaniwe.

Wakileta hela utakataa?
 
Mwamba Mbowe atatuvusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…