Tanzania kuchoma tena vifaranga kutoka Kenya?

Hata akili hutumika pia, sio kila sheria inamaana!

Mzee kwenye taasisi huwezi leta akili binafsi wakati kuna jopo walikaa wakalichanganua suala na kulipitisha liwe sheria lakin cyo maamuzi yako!!

Afu kama sheria n mbaya inapelekwa bungeni kujadiliwa na kuunda sheria mpya!!...
Hii ni nchi haiwezekan kila mtu aendeshe au afanye maamuzi kulingana na akili yake inavomtuma[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji39][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Umenichekesha sana
Tukiachana na sheria ila mtu unawezaje kuchoma kifaranga.
 
Na ww unaanzaje kufuga kiumbe ili ukile kisa mambo ya njaa na tamaa. Si ungeweza kua hata vegetarian ukawa unakula nafaka tu na mboga za majani. Kwani lazima uchinje kuku. Unajua msiwe mnapenda kuhukumu nawakati hata nyie mnafanya kitu kilekile
 
Vifaranga hawana hatia, aadhibiwe mhusika, vifaranga wapimwe kujiridhisha kama wanafaa kuwepo nchini au warejeshwe walikotoka, kuna amri ya Mungu isemayo "usiue"
Ila unapoua ukamla kuku au ngombe si unakua umefanya kitu kilekile. [emoji23][emoji23][emoji23], acheni hii dunia bora uwe humble tu
 
Kwa mawazo yao wanafikiri wakiwa wakubwa wanakua hawana maumivu. Kiufupi binadamu wote tunashiriki kutesa wanyama. Acheni kuvunga mna huruma na wakati mnakula nyama za wanyama kila siku
Mnavyolalamika wasichomwe moto mtadhani hivyo vifaranga wakikuwa wakubwa mnawala wabichi,,, kumbe mnabanika kwa moto
 
Sijaongea kuhusu mtu binafsi, lakini nimekuelewa.
 
We roho nzuri yako imekujengea magorofa mangapi mpaka sasa!?
Unaodhani Wana roho mbaya wote ndo matajiri duniani, anaongea nn huyo. Dunia inatawaliwa na watu makatili and powerful. Hajui anachoongea.
Huyu atakua anachanganya kua na akili( smart) na kua mjinga
 
Unaodhani Wana roho mbaya wote ndo matajiri duniani, anaongea nn huyo. Dunia inatawaliwa na watu makatili and powerful. Hajui anachoongea.
Huyu atakua anachanganya kua na akili( smart) na kua mjinga
Kweli yani makatili wengi duniani ndio matajiri 😸
 
Kwa mawazo yao wanafikiri wakiwa wakubwa wanakua hawana maumivu. Kiufupi binadamu wote tunashiriki kutesa wanyama. Acheni kuvunga mna huruma na wakati mnakula nyama za wanyama kila siku
ki ukweli hata me sijaelewa malalamiko yao watu wa humu,,, kila siku tunawala hao kuku alafu saa izi wanajifanya kuwaonea huruma hapa,,, unafiki tu
 
ki ukweli hata me sijaelewa malalamiko yao watu wa humu,,, kila siku tunawala hao kuku alafu saa izi wanajifanya kuwaonea huruma hapa,,, unafiki tu
Yani nafikiri huu ni mfano sahihi wa dunia tunayoishi. Hivi unajua watu wengi wanaishi kwenye vidunia vyao vidogovidogo bila kuuona uhalisia wa mambo. Imagine watu wanapinga unyanyasaji na wakati at the same time wananyanyasa viumbe.
 
Watu hawaoni hata kama wanaua kila siku wanyama kwa ajili ya mboga. People people people. They always feel perfect in their imaginary world
 
ki ukweli hata me sijaelewa malalamiko yao watu wa humu,,, kila siku tunawala hao kuku alafu saa izi wanajifanya kuwaonea huruma hapa,,, unafiki tu

Kuna wanaokula vifaranga humu[emoji1787][emoji1787]
"Wapo!"... Alisikika Nay wa mitego akisema! 🤣 🤣 🤣
 
Kama sheria inasema hivyo wavichome tu ili liwefundisho kwa hao wanaingiza vifaranga bila kibali.
Hapo unachoma Millioni 40+innocent lives bora warudishwe to where they belong
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…