Tanzania kuchoma tena vifaranga kutoka Kenya?

Tanzania kuchoma tena vifaranga kutoka Kenya?

Hata Mimi hua nawaonea huruma sana vifaranga ni viumbe kama viumbe vingine bora wangetaifisha kuliko kuviua
 
Hivi hii taratibu aliweka nani?

Mnaua viumbe vikiwa hai?

Vifaranga wa milioni 40 wameteketezwa.

Mama samia futa hii kanuni haya ni mauaji.

Habari zaidi:

Taarifa ya Habari ya ITV ya leo imeonesha mfanyabiasha wa Ukonga aliyeingiza vifaranga vyenye thamani ya milioni 40 kutoka Kenya bila kufuata utaratibu.

Hatua zinazotakiwa kuchukuliwa kulingana na sheria nikubinafsisha mali nakuteketeza vifaranga wote kwa mujibu wa sheria.

Je, kipi bora kumuita mfanyabiasha ukampiga faini pia akalipia gharama za kuhakiki usalama wa vifaranga( kwa afya ya binadamu) alafu umrudishie vifaranga? Au ukateketeza mtaji au fedha milioni 40?

Kwan ukishikwa na nyavu haramu huwa wanafanyaje!! Nachojua mm wameteketeza kwasababu n mzigo haramu!!
Ciyo tu anakwepa kodi ila inaweza kuingiza magonjwa nchini ya mifugo au ya binadamu

Ndyo maana kukawa na utaratibu wa kuingiza bidhaa
 
Sheria inataka viteketezwe,
Unapata faida gani baada ya kuviteketeza,
Ni vema ukamuadhibu mhusika kwa kukwepa kodi, vifaranga viende vikapimwe, kama ni vizima vifugwe, vitoe mayai yauzwe serikali ipate kodi
 
Kwan ukishikwa na nyavu haramu huwa wanafanyaje!! Nachojua mm wameteketeza kwasababu n mzigo haramu!!
Ciyo tu anakwepa kodi ila inaweza kuingiza magonjwa nchini ya mifugo au ya binadamu

Ndyo maana kukawa na utaratibu wa kuingiza bidhaa
Ukishikwa na biashara haramu ya kusafirisha binadamu pia nayo...............

Cha msingi na sekondari Sheria iangaliwe upya tu, hakuna namna!
 
Wacha kutuletea ujinga wako hapa, hakuna ng'ombe hai anateketezwa na moto bali ni nyama ya ng'ombe au mnyama yeyote aliyekufa mwenyewe au amechinjwa lakini nyama yake imegundulika haifai kuliwa na Binadamu. Machinjioni kila mnyama anayechinjwa kwa chakula nyama yake lazima ipimwe na mtaalamu ili kujua kama ni mzimà wa afya na salama kuliwa na Binadamu na ikikutwa haifai kabisa inatekelezwa au kama ugonjwa siyo mbaya sana inachemshwa hapohapo kwa usimamizi wa aliyepima.
Na ile nyama waliobeba wazee wa buku 5 ya kubrashia viatu pale buguruni kama kidhibiti iliteketezwa wapi!
 
Vifaranga vinasambaza magonjwa kwa haraka sana mkuu. Ungekuwa umefanya biashara ya kufuga kuku ungejua ukweli huo. Nafikiri unajua ugonjwa wa mafua ya ndege.
Inaeleweka hiyo, basi wangechunguza kwanza, tena wawapatie chanjo kisha vichukuliwe iwe mali ya serikali,na huyo mfanya biashara alipe fine kwa kosa la kufanya kazi bila barua. Simple like that!
Hiyo ni pesa kumbuka na ni uhai pia ata kama ni mnyama. Serikali wavichukue hata wawape raia wenye kipato cha chini, wapige kazi wajiendeleze kimaisha!
 
Kwan ukishikwa na nyavu haramu huwa wanafanyaje!! Nachojua mm wameteketeza kwasababu n mzigo haramu!!
Ciyo tu anakwepa kodi ila inaweza kuingiza magonjwa nchini ya mifugo au ya binadamu

Ndyo maana kukawa na utaratibu wa kuingiza bidhaa
Hata akili hutumika pia, sio kila sheria inamaana!
 
safi sana, it's payback time bitches
Payback tena, hivi una akili wewe?
Mfanyabiashara ni wenyu, vifaranga ni vyake, ashanunua ujue, hatorejeshewa hela na muuzaji!
So payback ya nini wakati mnawaumiza /mnaumizwa nyie raia wa Tz na serikali yenyu mnayoipenda... NB: 🖕🖕🖕
 
eat a dick..
 
Inaeleweka hiyo, basi wangechunguza kwanza, tena wawapatie chanjo kisha vichukuliwe iwe mali ya serikali,na huyo mfanya biashara alipe fine kwa kosa la kufanya kazi bila barua. Simple like that!
Hiyo ni pesa kumbuka na ni uhai pia ata kama ni mnyama. Serikali wavichukue hata wawape raia wenye kipato cha chini, wapige kazi wajiendeleze kimaisha!
Sheria haisemi hivyo waambie wabunge wako wakaibadirishe hiyo sheria.
 
Back
Top Bottom