Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Sawa mkuu. Hakika nakwambia madhara yatakayotokea na maamuzi hayo yatakuwa makubwa sana tu na naamini ipo siku watakuja na maamuzi ya kupinga maamuzi Yao na bado utawapongeza. Rangi nyeusi au mfanyabiashara kamwe haitaji busara ni kwambie tu ukweliProfessional hunters wanapopewa kibali cha kuwinda wanaambiwa kabisa aina ya mnyama watakaemuua na wanaambatana na wawindaji wa TANNAPA
Hivi unajua kwamba shughuli za uwindaji wa kitalii zimekuwepo nchi hii kwa miaka mingi sanaa?Sawa mkuu. Hakika nakwambia madhara yatakayotokea na maamuzi hayo yatakuwa makubwa sana tu na naamini ipo siku watakuja na maamuzi ya kupinga maamuzi Yao na bado utawapongeza. Rangi nyeusi au mfanyabiashara kamwe haitaji busara ni kwambie tu ukweli
Tena kwa sasa ujangili umepungua sisi watanzania tulikua tunaua sana wanyama pori kwa gharama ndogo sana ya kuuza nyama na pembe hawa wageni watawinda wachache wenye sifa kwa pesa nyingi sana. Hili naliunga mkono kwa 100%Sawa mkuu. Hakika nakwambia madhara yatakayotokea na maamuzi hayo yatakuwa makubwa sana tu na naamini ipo siku watakuja na maamuzi ya kupinga maamuzi Yao na bado utawapongeza. Rangi nyeusi au mfanyabiashara kamwe haitaji busara ni kwambie tu ukweli
Mkuu kuna binadamu walienda shule kukua.Sawa mkuu. Hakika nakwambia madhara yatakayotokea na maamuzi hayo yatakuwa makubwa sana tu na naamini ipo siku watakuja na maamuzi ya kupinga maamuzi Yao na bado utawapongeza. Rangi nyeusi au mfanyabiashara kamwe haitaji busara ni kwambie tu ukweli
Tuko pamoja mkuu. Yaan sijui afisa wanyamapori anayelipwa laki tano akutane na milioni tano tumchape Simba kijana kweli anapingana na hilo? Ni suala la muda tu najuaTena kwa sasa ujangili umepungua sisi watanzania tulikua tunaua sana wanyama pori kwa gharama ndogo sana ya kuuza nyama na pembe hawa wageni watawinda wachache wenye sifa kwa pesa nyingi sana. Hili naliunga mkono kwa 100%
Na bado..... Wakimaliza huko wataanza kuwinda binadamu wenye vipara na mvi kichwani...Majibu ya safari ya Dubai hayo.
Yaani yule mwarabu aliyechukua pori tengefu loliondo bado hajaridhika.Majibu ya safari ya Dubai hayo.
Ndio alichoenda kuelewana kule dubai sio?Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee.
Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.
View attachment 2160537
Hivi jamani uwindaji wa kitalii nchini umeanza leo?Tunarudi nyuma kwenye hili ukisharuhusu uwindaji wa simba na tembo...ndio unarudisha na ujangili. Ifike mahali tukibali hawa wanya ni urithi wa dunia hebu tuwaache tu.
Haya maamuzi mengine yanakera sana, kweli karne ya 21 tunaruhsu uwindaji wa wanyama wanaokaribia kutoweka?? Sasa kama ni hivi kuna haja gani ya kiwaondoa maasai ngorongoro, maana kisingiZio ni wanyama sasa kama wanyama wenyewe watauzwa kwa wakoloni wawindaji kwa noti za fedha kwakweli sio sawa bora wamasai wabaki tu waendelee na maisha yao. Nchi inaenda mbele kisha inarudi nyuma.
Mara mlima kilimanjaro wanataka kuweka magari na kuuwa thamani yake? Tatizo liko wapi?
Kama mimi ni simba au tembo sawaa waje kuniuwa.Unaonaje wewe ukija kuuwawa na muwindanji akaambatana na mkuu wa kituo?
Sikubaliani na suala la kuwahamisha wamasai kwenye maeneo yao. Lakini pia sioni maana ya kufuga simba na tembo wanaozaliana kwa wingi bila faida.Haya sasa, tulishasema sisi, hao wamasai wanaotaka kujamishwa ni kwa dhumuni maalum
Ndio madhara ya kupenda vya bure. Si mliwekwa kwenye jengo la burj khalifa, subiriniMajibu ya safari ya Dubai hayo.
Hao si pesa inapatikana kupitia utaliiWazo zuri hainaa maana kujivunia tembo laki 2 au simba elfu 60 huku huna hela .ni bora kuwauza tupate hela yakufanya maendeleo
hao wanaenda kuua simba, tembo, vifaru, n.k sio digi digi ama vibokoAcheni ujinga nyie punda wa mwendakuzimu.
Mwaka 2019/2020 serikali ilianzisha mabucha ya wanyama pori sijui napo unasemaje.
Uwindaji haujaanza leo ,ni biashara ya kitambo na Kwa sasa wanyama wamekuwa wengi kupita kiasi.
Wanyama kama viboko na mamba wanatakiwa kupunguzwa kwa kiasi kikubwa maana wanahatarisha maisha na kuharibu Mazao.
Sasa kila mtu akitaka kupiga hicho kizazi kijacho kitaishi vipi.Wewe hutaki kupiga pesa? Au huna fungu unaleta povu humu?