Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
Kusema ukweli, hapa umenifanya NICHEKE kidogo maana umenigusa kabisa 😁 😁Wakati Mstaafu anatengeneza mtandao tangu akiwa chuoni wengine wakawa busy kutenegeza GPA…kila mtu atakula alipopeleka mboga
Unataka kusema hata tukiwapa chadema bado mambo kama haya yataendelea kuwepo?Mkuu,
Tatizo kubwa watu hawataki kuona uhalisia huu.
Halafu, watu wanatakiwa kujua Wanasiasa wote Ni Wale wale. Hakuna MALAIKA.
Hata ikitokea CCM ikatoka madarakani, kitakachoendelea Ni jina la chama tu, ila watu Ni wale wale.
Lowassa wa CCM ndiyo yule yule wa CDM.
Bible inasemq, palipo na mzoga ndipo wakusanyikapo TAI.
Chama chochote kitakachokuja kuingia madarakani, hata iqe CHAUMA huko huko ndiko wazee wa FURSA watakakohamia, maana kuhama Vyama Ni demokrasia na haki yake.
Kwahiyo, utakuwa Hawa watu unaokesha unatukana kumbe sababu wako CCM au chama usichokipenda na siyo kwamba wanachofanya hukipendi
Mkuu umeongea kweli kabisa, wabongo tunapigania masilahi ya wanasiasa kuliko masilahi yetu na wakati huo wanasiasa wanapigania masilahi yao kuliko ya kwetu.Anyway, huwezi kutumia nguvu zako zote akili na maarifa kupigania maslahi ya mwanasiasa kuliko yako halafu ukaanza kushangaa kwanini mwanasiasa anafanikiwa kuliko wewe.
Unamsindikiza mwanasiasa kwenda kuchukua fomu ya kugombea
Unaenda kumsikiliza kwenye kampeni zake na kumsifia muda wote 24/7.
Unamchangia pesa.
Unaenda kumpigia kura. Halafu unabaki kituoni mpaka atangazwe kushinda.
Wasipomtangaza kashinda unaandamana na kupigwa ukishinikizwa atangazwe ameshinda.
Kwa hali hiyo unashaangaaje mwanasiasa kufanikiwa kuliko wewe?
Ofcoz ni wivu tu babake alikuwa wapi wakati wenzake wanafanya siasa ye alikuwa busy kusaka mademu. Sasa hivi analaumu baba za watu wengine.Watasema unawivu..😂
Watu bado wana imani na sanduku la kura ndio maana wamekuwa bado wanaenda kupanga foleni kupiga kura, wenyewe wanaona uchaguzi wa 2020 ndio kulikosekana haki.Wananchi gani waliopiga kura?. Mpaka sasa kuna watu mnaamini bado kuna haki inatendeka kwenye sanduku la kura Tanzania hii?
Na kwa Tanzania nafasi ya uongozi inatafsirika ni ulaji, utasikia mtu anasema Mwigulu ana mganga mzuri ndio maana amechaguliwa tena kwahiyo issue sio kuwa na sifa za uchapakazi na kuwatumikia wananchi.Ofcoz ni wivu tu babake alikuwa wapi wakati wenzake wanafanya siasa ye alikuwa busy kusaka mademu. Sasa hivi analaumu baba za watu wengine.
Badala ya Sasa nae kuingia kwenye siasa ili wanae wale bata anaendelea kulaumu tu na wanae watalalamika hivyohivyo tu.
Anza sasa kama vipi it's never too late.
Unataka kusema hata tukiwapa chadema bado mambo kama haya yataendelea kuwepo?
Rais sio mwanasiasa?Mkuu umeongea kweli kabisa, wabongo tunapigania masilahi ya wanasiasa kuliko masilahi yetu na wakati huo wanasiasa wanapigania masilahi yao kuliko ya kwetu.
Wanasiasa wakikutana na rais mengi wanayoomba ni ya masilahi yao kuliko ya wananchi.
Ndiyo màana Mbowe kila siku anasema," Mi naona wivu sana. Tusaidiane tuiondoe CCM madarakani."Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?
Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?
Familia nyingine mama ni Rais , mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.
Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
New topicRais sio mwanasiasa?
Kwa nini anaombwa?
Jamaa kanichekesha saanaKusema ukweli, hapa umenifanya NICHEKE kidogo maana umenigusa kabisa 😁 😁
Uliona wapi kuna Peace of mind mahala ambako njaa inauma? Hela hamna hio peace of mind inatokea wapi!?Peace of mind huwa haipatikani kwa kuwa na Mali wala nyadhifa !! Hicho ndicho kinachowatesa watu !!
ama baba mkulima muimba mapambio, mama mkulima kada mfia chama, mtoto wao anashinda kwenye kubet!!!Mbona wewe ni mwalimu babaako ni mwalimu na mamaako ni mwalimu?
Hasa ndugu zetu wa dhehebu hili wanatabia ya kutokutosheka.Japo huwa wa....
Mimi hapa sina la kusema, ila TANZANIA 🇹🇿 kuna MAMBO! Tena sio madogo, ni MAMBO MAKUBWA sana.Jamaa kanichekesha saana
Kitu chochote kama MTU alikipata kwa hila iwe ni Mali au nyadhifa hatopata peace of mind katika maisha yake yote !ndio maana wanasiasa wengi hata wakiwa na Mali nyingi sana bado huwa hawajiamini kuishi nje ya siasa !!Fred Lowassa ni mbunge wa Jimbo la monduli. Kaachiwa jimbo na baba yake.
Hali hii mwisho italeta changamoto kwenye jamii isipodhibitiwa.