Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu

Waliozoea za kuchota za kudunduliza hawaziwezi ndio maana wanang'ang'ania humo , na peace of mind hamuna !!! Maisha ni shida tuu kama hakufanya haki !!
 
Hizo familia kila siku zinasema watu wajiajiri na wakati wao ukoo mzima upo serikalini na tayari wana mitaji lakini hawataki kujiajiri
 
Hizo familia kila siku zinasema watu wajiajiri na wakati wao ukoo mzima upo serikalini na tayari wana mitaji lakini hawataki kujiajiri
Hayo ni maoni tu si sheria. Kama unaona wanaongea upuuzi unaendelea kutafuta kazi au unaingia kwenye siasa.
 
The way ulivyoandika pale juu nikajua wewe ni ke, pole mkuu
"Hayo ni maoni tu si sheria. Kama unaona wanaongea upuuzi unaendelea kutafuta kazi au unaingia kwenye siasa".

Unamaanisha maandishi haya yamesababisha ufikiri mm ni mwanamke?
 
Hautaushia hapo we bwege. Kama unafikiri kupewa ndio suruhisho. Ukipewa kiwanja,utafikiria upewe na hela ya kujengea. Hata upewe ya kujengea,utataka na ya kula,ukipewa nayo,utambembeleza awe anakupa kila mwezi. Suruhisho la vyote ni katiba nzuri yenye kutanzua hayo mambo ya kurishishana na kuifanya keki ya Taifa imfikie kila mmoja
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanakula Keki ya YAO kwani NCHI ni YAO
 
Bwege mama yako.

Jifunze kuwa muungwa acha lugha za matusi.Kama unaona mtu amekukwaza kwa comment baki kimya.

Kamvue mama yako chupi umchungulie shenzi wewe
 
Uwivu tu Sasa kama baba ako alichagua Kuwa mcheza soka au hakutaka siasa shida iko wapi.... Ts all about ur family
 
Swali ni kwamba kwani watadhibitiwa na taasisi gani au sheria gani itawazuia , kama ni hivi hivi basi itakuwa hivi hivi tu hata waje chauma !!
Hata sasa unakuta zipo sheria zenye kukataza jambo fulani ila serikali ya ccm inalifanya hilo jambo au wanafanya kinyume na sheria inavyoelekeza.

Sasa wengine wana matumaini labda tukibadili na kuwaweka chadema kwa sababu wanaonekana kupigania wananchi basi wakiingia madarakani kila kitu kitakuwa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…