Hao Chadema wanaopigania katiba, huko kwenye chama kumejaa upendeleo na kujuana
Mtoto wa Bush, Rais wa Marekani,nae alikuja kuwa rais, mke wa bill clinton,hillary nae aligombea urais, Uhuru kenyata wa kenya, na baba ake alikuwa rais, na huko nako wanahitaji katiba mpya?Kwanini tuandikie mate mjomba? Katiba iliyopo tumeyaona na ni halali kwa mujibu wa Katiba.
Bado hudhani tusijaribu mustakabala mwingine:
1. Utakaozuia wizi na ujambazi wa kura kama wa 2019/20?
2. Utakatoa fursa sawa kwa wote?
3. Utakahakikisha uwepo wa tume ya uchaguzi?
4. Utakaompunguzia rais madaraka ya u Mungu mtu kama ilivyo sasa?
5. Nk nk?
Kwani kwa sasa na kwa mujibu wa katiba vyeo rais hugawa kama njugu tu?
Hudhani hawa kina Riz moko, January, Nape, Mchengerewa na wengi wa namna hiyo fursa za kujiajiri haikuwa muhani nao kuwahusu?
Au wewe uko kwenye familia hizo na hapa niko kwenye kumpigia mbuzi gitaa tu?
Hao Chadema wanaopigania katiba, huko kwenye chama kumejaa upendeleo na kujuana
Mtoto wa Bush, Rais wa Marekani,nae alikuja kuwa rais, mke wa bill clinton,hillary nae aligombea urais, Uhuru kenyata wa kenya, na baba ake alikuwa rais, na huko nako wanahitaji katiba mpya?
Badilisha mbinu.... pia ujue sio kila mtu anaweza kuwa mshindiNi vipi unafanya kama kila ukipambana unarudi na manundu ?!
Jobo amenona au ni macho yangu
Halaf zinahimiza wengine wajiajiri, na hapo hapo wanaendesha kampeni ya kuchoma moto masoko🤦Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?
Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?
Familia nyingine mama ni Rais , mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.
Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
We' jamaa mwenzako Extrovert yupo wapi?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie wawili ni wasumbufu sanaWatasema unawivu..[emoji23]
By Mzilankende MnyagoTumeliwa Sana Ndugu Zangu
Tumelaliwa Sana Ndugu Zangu
Ushauri bora mno huu!Life is not fair.
Umecheza na nani ukiwa mtoto? Umeenda shule gani ulipokuwa mtoto? Vyote hivi vinaweza kuamua hatma yako bila wewe mwenyewe kutaka. Taratibu tunajenga familia za viongozi na waongozwa. Pambana na wewe familia yako iingie kwenye channel au ndio it is what it is.
Si ndo wewe umeamua kuja na id mpya baada ya mods kukuchosha kwa ban!..We' jamaa mwenzako Extrovert yupo wapi?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie wawili ni wasumbufu sana
Yes, tupambane pasi kukata tamaa.Maji hufuata mkondo mwenye nacho huongezewa
U romantic kwenu, hapa ni kit#mb# tu. Big up kwa Mondi!Mtoto wa nje ya ndoa akasala anautaka uwaziri. Teh teh teh.
Jamani ukiamua kuzaa angalia unazaa na nani kupunguza hizi lawama. Ukizaa na muuza supu sana sana mtoto amejitahidi sana atakuwa mpishi kwenye mgahawa wa mama zainabu.
Msione wanaozaa na diamond mkadhani kako romantic, wanaangalia maisha ya mtoto baadae.
Sana? How?Royal families zipo sana
Yes!Walianzaje?
Learn from them
Don’t hate