Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu

Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu

Watoto huwatizama baba zao..........ukiwa kapuku ni 50 50 watoto kufanikiwa ama kufeli kimaisha ila ukiwa nazo 100 watoto nao kufanikiwa
 
Kwanini tuandikie mate mjomba? Katiba iliyopo tumeyaona na ni halali kwa mujibu wa Katiba.

Bado hudhani tusijaribu mustakabala mwingine:

1. Utakaozuia wizi na ujambazi wa kura kama wa 2019/20?
2. Utakatoa fursa sawa kwa wote?
3. Utakahakikisha uwepo wa tume ya uchaguzi?
4. Utakaompunguzia rais madaraka ya u Mungu mtu kama ilivyo sasa?
5. Nk nk?

Kwani kwa sasa na kwa mujibu wa katiba vyeo rais hugawa kama njugu tu?

Hudhani hawa kina Riz moko, January, Nape, Mchengerewa na wengi wa namna hiyo fursa za kujiajiri haikuwa muhani nao kuwahusu?

Au wewe uko kwenye familia hizo na hapa niko kwenye kumpigia mbuzi gitaa tu?
Mtoto wa Bush, Rais wa Marekani,nae alikuja kuwa rais, mke wa bill clinton,hillary nae aligombea urais, Uhuru kenyata wa kenya, na baba ake alikuwa rais, na huko nako wanahitaji katiba mpya?
 
Mtoto wa Bush, Rais wa Marekani,nae alikuja kuwa rais, mke wa bill clinton,hillary nae aligombea urais, Uhuru kenyata wa kenya, na baba ake alikuwa rais, na huko nako wanahitaji katiba mpya?

Umesahau uchaguzi wa wizi na ujambazi wa 2019/20?

Rais wa 2025 humjui?

Rais wa 2030 naye je?

Umewasahau hawa nao?

IMG_20220305_073032_979.jpg


Hivi mnatuona je lakini?

Nani asiyejua yote hayo ni kwa mujibu wa katiba iliyopo?

Tunataka Katiba mpya subiria kidogo kumsikia mama akikutaarifu kujiandaa kisaikolojia.
 
Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?

Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?

Familia nyingine mama ni Rais , mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.

Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
Halaf zinahimiza wengine wajiajiri, na hapo hapo wanaendesha kampeni ya kuchoma moto masoko🤦
 
Life is not fair.

Umecheza na nani ukiwa mtoto? Umeenda shule gani ulipokuwa mtoto? Vyote hivi vinaweza kuamua hatma yako bila wewe mwenyewe kutaka. Taratibu tunajenga familia za viongozi na waongozwa. Pambana na wewe familia yako iingie kwenye channel au ndio it is what it is.
Ushauri bora mno huu!
 
Bado kitambo kidogo nao watakuwa wa kawaida tu
Mwl alikoroga udongo akasemaaaaa ( usultani ufamle havina nafasi kwenye ardhi ya Tz)
Acha wajitutumue lakini muda ni mwalimu mzuri sana
 
We' jamaa mwenzako Extrovert yupo wapi?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie wawili ni wasumbufu sana
Si ndo wewe umeamua kuja na id mpya baada ya mods kukuchosha kwa ban!..
Unajiita uvimbe na watakuvimbisha kinyama..😎
 
Mtoto wa nje ya ndoa akasala anautaka uwaziri. Teh teh teh.
Jamani ukiamua kuzaa angalia unazaa na nani kupunguza hizi lawama. Ukizaa na muuza supu sana sana mtoto amejitahidi sana atakuwa mpishi kwenye mgahawa wa mama zainabu.

Msione wanaozaa na diamond mkadhani kako romantic, wanaangalia maisha ya mtoto baadae.
U romantic kwenu, hapa ni kit#mb# tu. Big up kwa Mondi!
 
Back
Top Bottom