atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Kila siku hapa kukiongelewa inshu za katiba mpya haachagi kuja na maneno ya shombo utadhan hio katiba mpya ni kwasababu ya kuwabeba vyama vya upinzani kumbe ni kwa maslahi mapana ya nchi yetuNdiyo u zombie wenyewe huo sasa
Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?
Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?
Familia nyingine mama ni Rais , mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.
Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
Ni kweli kabisa[emoji1666][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ama kweli dunia msongamano.
Tatizo muda bossHujamuelewa! Rudia kusoma.
Unauhakika?yaani MTU yupo madarakani Kwa Miaka 22 alafu familia yake ibaki kuwa masikini?kuna vitu bado hatujui nchi hii.Kuna wakati huwa namkubali sana J.K Nyerere jamaa alikua mzalendo wa kweli sana
1. Jaribu kumlinganisha Nyerere kwa mtazamo wa umuliki wa mali kwa kuwaangalia maraisi wengine wa Afrika katika kipindi chake, angalia maraisi hao walipokuwa madarakani na baada ya kustaafu
2. Nyerere alidiriki kufunga ubalozi wa Israili na kufuta mahusiano nao licha ya kuwa Nyerere alikua mkatoliki haswaaa, lakini alifanya hili kuonyesha kuchukizwa na uvamizi wa Israili katika ardhi ya Palestina
Na hili alilifanya licha ya msaada mkubwa tu wa ujenzi wa UDSM na MUHIMBILI HOSPITAL ya leo
3. Alikubali lawama za udini kwa Wazee wa Dar es Salaam lakini alisimamia misingi ya usawa kwa wote aliishia kutoa shukran za teuzi kwa nafasi mbalimabli za watoto wa waislamu walioshiriki katika kupigania uhuru wa Tanganyika na sio kuleta udini katika serikali kama walivyokuwa wakitaka wao
4. Jamaa alikua na uwezo mkubwa sana wa kuchomeka na kurithisha familia na watoto wake katika nafasi za meza kuu ya nchi lakini hakufanya hivyo na aliwaacha wapambane wenyewe kupitia demokrasia
Ukiachana na Hawa matapeli kama kina Kakobe, Lusekelo, Mwamposa n.k.
J.K Nyerere alikuwa nabii wa kweli Tanzania na unabii wake ulishatimia na wote tumeshuhudia kwa macho
Wengine wapate hata Icing sugar basi!Keki ya taifa huliwa na wachache. Hii ndio kanuni ya maisha.
Haya maneno yaongee mwaka 2025.Keki ya taifa huliwa na wachache. Hii ndio kanuni ya maisha.
Kwa ulimwengu huu wa kidigitali katika sayansi na technolojia tungekua tushaona au kujua mkuu familia ile hamna hata balozi aliewakilisha Burundi au MalawiUnauhakika?yaani MTU yupo madarakani Kwa Miaka 22 alafu familia yake ibaki kuwa masikini?kuna vitu bado hatujui nchi hii.
Wewe ndiyo umeguswa mpaka umechanganyikiwa,wewe hujui kila struggle ina starling Mandela alivyopiganiwa ni ndugu zake tu,waliomchangia nyererere kwenye kesi ni ndugu zake,struggle ya skua gang kutawala milele icon wao si mna wajuwa,ndugu kila struggle ina icon wakeTatizo lenu huwa mnapigania masilahi ya wanasiasa wenu kuliko hata masilahi yenu, jitu mishipa inamtoka kwa Mbowe kupewa kesi na anataka atoke ila kuna ndugu yake alibambikiwa kesi na kahukumiwa yupo jela na hakutokwa mishipa ya shingo kama alivyokamatwa Mbowe.
Wanasiasa ni watu special sana ni tofauti na sisi wacha waishi maisha ya kifahari.
AiseeHuku kwetu baba ni mkata mkaa...
Mama ni mama wa nyumban!!!
Na watoto hawataki shule...wanavuta bange tuu..
Kweli tupo dunia tofaut,
Wa Shein kaoa pisi kali Binti wa huyu wa baraOngeza nyama hapa
Sasa udaktar wa mil 2 una ufalme gani na wewe🤣Maji Hufuata mkondo
Kuna familia baba daktari. Mama daktari. Watoto madaktari na wajukuu madaktari na wanawaandaa vitukuu kuwa madaktari.. nao wafalme?
Familia ya wanasiasa akiwaandaa watoto wake kuwa wanasiasa kuna shida gani? Au kwa kuwa wao wanajulikana?
Iko hivyo.Mnaosema katiba mpya itaondoa hili suala ni wajinga watupu, wapumbavu na malofa. Bila kujuana hakuna kula hiyo keki ya taifa CCM wala upinzani. Hapo upinzani wanaofaidi ni ndugu au watu wa karibu wa vigogo wa upinzani. Kwa mfano Lema katoka kijiji kimoja na Mbowe na wana undugu. Zitto alishikwa mkono na marehemu Sita. Wale Covid19 karibu wote utakuta kama sio mke au hawara wa kiongozi basi ni ndugu. Mi naona kama huwezi kutafuta connections zako mwenyewe zikaja kuwabeba kizazi chako basi kubali tu hizo familia ndo ziko hivyo na wanapambana kutoachia nafasi.
Utapewa kesi ya uhujum uchumi mkuu ohoo.. hutakiw kuhojiUnakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?
Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?
Familia nyingine mama ni Rais , mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.
Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
Sawa mkuu wacha tuendelee kupigania haki na masilahi ya wanasiasa.Wewe ndiyo umeguswa mpaka umechanganyikiwa,wewe hujui kila struggle ina starling Mandela alivyopiganiwa ni ndugu zake tu,waliomchangia nyererere kwenye kesi ni ndugu zake,struggle ya skua gang kutawala milele icon wao si mna wajuwa,ndugu kila struggle ina icon wake