Tanzania kuna tatizo very serious kuhusu hiki tunachokiita mahusiano hasa ya ndoa, tumekosea wapi? Nini kifanyike?

Tanzania kuna tatizo very serious kuhusu hiki tunachokiita mahusiano hasa ya ndoa, tumekosea wapi? Nini kifanyike?

Upagani umeletwa na Nyerere, mbio za mwenge ni ushirikina unaopaswa kupigwa vita na kila mtu kwenye akili timamu bila kujari itikadi ya vyama na kidini.

Ingawa ukweli uliowazi ushirikina wa mwenge umeletwa na waislamu ndio walimshauri Nyerere kutumia ushirikina huu baada ya kupokea maagizo ya mizimu pale Bagamoyo.

Kwa bahati mbaya Sheikh Yahya Hussein ndio alikuwa mtu wa mwisho kufariki katika wale washirikina 6, waliokwenda Bagamoyo kwenye mbuyu kufanya tambiko na kuikabidhi Tanganyika mikononi mwa shetani, watu wameshindwa kumuhoji akiwa hai.

Unaongelea juu juu sana, Upagani uko katika kila fabric ya jamii ya Tanzania, na ndiyo maana kuzaa nje ya ndoa siyo ishu kwanza hata inakuwa promoted, watu ni full polygamy, ni jamii ya kipagani tu ndo ina promote kuzaa nje ya ndoa, …
 
Walienda kuonana na shetani mapangoni bagamoyo wazo lilitolewa na magwiji wa fani ya ndumba na ulozi lengo ni kwenda kuomba jinsi ya kuwaondoa wazungu, shetani akawaambia SAwa uhuru mtapata lakini sharti muwe masikini wale wazee wakakubali ndo shetani akawapa mwenge, mmoja wa wazee akatolewa kafara humo humo. Ndio asili ya mwenge na umasikini wa nchi. Na mikoa yote iliyofanya matambiko watu wake uwezo wao wa kufikiri upo chini sana na hawatokuwa na maendeleo japo raslimali kedekede, Lindi, Pwani, Tanga, Tabora. Hii nchi inatakiwa iwe formated upya ya kuvunja Laana zote.

Itakuaje wakati mama kashaenda kutambika na amepewa uchifu
 
Ndoa zimekua kama fashion,
Sikuhizi Watu hawaoani kwasababu ya upendo.

Wanaume tunao kwasababu mrembo ana chura, mwanamke anaolewa sababu umri umeenda,ana hela, jamaa Ni mrefu na mweusi

Matokeo yake Hakuna chemistry Kati ya wanandoa, Ndoa zimekua uwanja wa mapambano,mabishano na kutunishiana misuli.

Hasa Kama
wanandoa wote wanaingiza miambili miambili, inakua vile UTANAMBIA NINI
 
Ndoa zimekua kama fashion,
Sikuhizi Watu hawaoani kwasababu ya upendo.

Wanaume tunao kwasababu mrembo ana chura, mwanamke anaolewa sababu umri umeenda,ana hela, jamaa Ni mrefu na mweusi

Matokeo yake Hakuna chemistry Kati ya wanandoa, Ndoa zimekua uwanja wa mapambano,mabishano na kutunishiana misuli.

Hasa Kama
wanandoa wote wanaingiza miambili miambili, inakua vile UTANAMBIA NINI
Kelsea unasemwa huku 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi wale masheikh au maustaadhi hana ajira yoyote rasmi na ana wake Wawili hadi watatu wazuri tu na hawachepuki na wote heshima na adabu, huwa wanatumia teknolojia gani hawa?

Wale wanawateka kisaikolojia wake zao.. wanawake wanaogopa kusomewa kisomo ama kutupiwa majini.. inabidi wawe wapole tu
 
Ahhhh democrasia ya ndoa imeua ndoa.rudi nyuma kidogo wazazi wetu.ukatili ulikuwepo.Siku hozi mwanamke anafanya anavyotaka.Wanaume tukiongea wanasema haki sawa.sasa unategemea nini.Lazima ndoa zitavunjika.Nini cha kufanya hakuna labda Yesu arudi
 
Watu hawatak adjustment kwenye ndoa, Kila mtu anataka alete Sheria badala ya kukubaliana, kingine expectation ndio zinaua ndoa mno, mtu kaingia ktk ndoa ameweka akilini Kuna hichi na hichi, mwisho wa siku havikuti ana Anza kumuona mwenzie mbaya na mwenza Naye ata react kutokana na anavyo onwa mbaya.
Mm nashaur ktk dini zote wafundishen vijana nn Maana ya ndoa.
Ndoa ni zaidi ya nakupenda,
Na wengi Wana oana Kwa mihemko, kama mmoja alivyo sema juu hips Yako mguu sura nzur, Sio vitu vibaya lakin je ni mtu sahihi, mtu akimuingiza ndan huyo mtu anakuta tofaut na alivyo mtarajia, na badala atafute nn Cha kufanya ugomvi unainuka,

Wengine u uhandsme una wapeleka ktk ndoa Sio vitu vibaya lakin je anakufaa?

Cha muhimu na muhimu, ppl zinamuacha Mungu kando, mambo yakiharibika ndio zinarud Kwa Mungu kuomba, kwann hukuomba Toka mwanzoni? Nina uhakika ndoa ambayo Ina baraka za Mungu hata shida ikija Mungu atawashikilia na mtapatana. Na zile ambazo Mungu kapewa tu taarifa kuwa nimepata mwenza hamuchukui siku maelewano hayapo cz Mungu hamkumshirikisha, kama Mungu hayupo shetan yupo kazin
 
Back
Top Bottom