Tanzania kuna tatizo very serious kuhusu hiki tunachokiita mahusiano hasa ya ndoa, tumekosea wapi? Nini kifanyike?

Tanzania kuna tatizo very serious kuhusu hiki tunachokiita mahusiano hasa ya ndoa, tumekosea wapi? Nini kifanyike?

Urahisi wa kuishi pamoja muda mrefu au mfupi pia unatokana na mlivyokua kabla hamjaoana.
Kwa kutumia mfano wangu mwenyewe, nilioa mwaka 92, na niliyemuoa familia zetu zilikua marafiki na wazazi wake nilikua nawapa heshima ileile niliyokua nawapa wazazi wangu, na mke wangu wakati huo alikua ananiita kaka, nilipofikia kuoa nilimposa yeye moja kwa moja na hatukuwahi kuwa na urafiki wa mapenzi na yeye, tulianzia hatua ya mke na mume, na namshukuru Mungu tuna miaka 30 sasa ya ndoa na naamini kifo ndio kitatutenganisha.
 
Ni kweli tupu, Watanzania bila kuuteketeza ule mwenge na kuutupa MTO Kagera nchi hii imelaaniwa na iko chino ya shetani.

Nawashangaa hawa matapeli wanaojiita viongozi wa dini kutolikemea hili na wanalijuwa, wamelewa bahasha za kaki.

Waislamu ndio wanahusika na ushirikina huu wakiongozwa na Forojo Ganze wa kuikabidhi nchi yetu mikononi mwa shetani wakishirikiana na Nyerere.

Tumefanya makosa makubwa kuacha Sheikh Yahya Hussein mpaka anakufa bila kumuhoji wakati yeye alikuwa miongoni mwa wale washirikina waliokwenda Bagamoyo kuongea na shetani ndani ya mbuyu.

Aiseee 🤔
 
Lengo kuu la tamthilia zote duniani ni kubomoa ndoa thus maudhui karibu yote ufanana zote zinafunya vurugu, ukosefu wa heshima na staha kwa mume, ukosefu mipaka. Akili ya mwanamke ni kukopi na kupaste KILA kitu akionacho kwenye tamthilia na kukipractice kwenye ndoa yake, hapo ndipo crash uanzia hapo.

Hawa madirector wa hizi tamthilia uenda wanajua au awajui bali wanatumika kwenye ajenda hizi za siri. Hakuna mwanamke asiye penda kutazama tamthilia hii ipo duniani nzima. Tamthilia zote kuanzia za kiingereza, korea, kihindi, china, kiswahili nk hazifundishi maadili zaidi ya magomvi, ukali, kufokea mwanaume, jeuri, ubinafsi, nk.
Umemaliza kila kitu..maisha ya kitamthilia yamewaathir sanaa hawa kina Ever..zile scrpt wanaona kama ni kwel
 
Wanawake hawana uwezo wa kutofautisha tamthilia na hali halisi thus kwenye tamthilia msanii akilia nao ulia
Nishawah kuona dada flan anatoa machoz kwa kuangalia hizi hiz tamthilia....hawa madairekta wana jukumu la kubadilisha maudhui ya tamthilia zao japo zibadilishe hii dhana kwa upande wa wanawake
 
Wanajukwaa Mimi binafsi ni mfuatiliaji mzuri wa mambo mengi tu, mpaka nimeleta Uzi huu nimejiridhisha kuna tatizo sehemu au kuna kitu sisi binadamu au niseme Watanzania kuna sehemu tumekosea, sitaki kuhusisha dini labda Mungu tu ndio tumuhusishe.

Katika utafiti wangu usiyo rasmi nimeshuhudia watu waliokosa connection na kujikuta na hali ngumu kiuchumi ndoa zao zimekuwa ndowano, labda nikajidanganya hawa tatizo ni pesa tushauriane kutafuta pesa, kumbe nilikuwa najidanganya mwenyewe.

Mimi Kwa nafasi yangu katika jamii najichanganya na watu wa hadhi zote, nimekuja kubaini kumbe hata matajiri, hapa namaanisha matajiri kweli siyo kumiliki gari na nyumba, wote wana matatizo makubwa kwenye ndoa zao, na cha kusikitisha tatizo siyo usaliti kwamba wanagongewa wake zao hapana, Bali maelewano hakuna ndani ya nyumba, je tatizo liko wapi? Wanaume tumekosea wapi kuwaelewa wanawake? Iweje asiye na pesa na kwenye mihela wote wana kilio kimoja?

Nimeandika hii thread Leo baada ya kukutana na mwanangu mmoja tumepotezana miaka kibao nilipomuuliza Shemeji anaendeleaje akanijibu tumeshamwagana, Sasa kuanza kujumlisha watu ninaowafahamu wengi wamemwagana na wapendwa wao Tena ukifuatlia hakuna kesi ya usaliti wa ndoa au Mke anagongwa nje nimepata taharuki kubwa sana, tatizo liko wapi? tumekosea wapi ili tunusuru hizi familia ambazo bado hazijasambaratika?

Mimi naamini kuna tatizo sehemu ila sijui tatizo liko wapi ingawa wanawake nawabebesha sehemu kubwa ya lawama katika hili.

Wananzengo, nini kifanyike kunusuru ndoa za kizazi hiki?

N:b, hapa sijahusisha boy friend na girl friends naongelea wana ndoa, tatizo liko wapi?
Tatizo linaanzia kwenye malezi toka tukiwa wadogo. Je tunalelewa kuwa mme bora je wadada wanalelewa kuwa wake bora. Mke bora ni mwenye kujua nafasi yake na kuifanyia kazi na mme bora ni mwenye kujua nafasi yake na kuifanyia kazi.

Angalia malezi ya mtoto wa kisasa pata picha miaka 10 mbeleni kwa malezi hayo anaandaliwa mtu wa aina gani?... Askudanganye mtu eti uowe mwanamke mwenye Dini duh! Dini ya mwanamke?[emoji16][emoji16] Angalia mwenye malezi na ndo mana zamani hawakuwa na dini ila kwa msingi wa malezi yao mama zetu waliweza kuhimili NDOA.
 
Kwa sasa hv kote kote Hali ni hiyo hiyo TU Mkuu point ya msingi kuwa shetani amelenga sana sana watoto wa kizazi hiki na ndo mana Ili awapate watoto anavuruga kwanza ndoa Ili awapate watoto. Tusali sana wakuu Hali ni mbaya.
Halafu wanawake hiki kitu wanajifanya hawakioni kabisa. Yaani hawashituki. Inapofikia issue ya kufeli kwa ndoa na watoto kudhurika wao hoja zao ni za kibinafsi kuhusu wao tu wanawaza kile wanachokosa wao ila sio ambacho jamii inagharamika endapo mahusiano yakienda kombo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa inawashinda watu waliacha mfumo Dume hiyo ndio Siri nakupa.

Jamii zote zinazofuata mfumo Dume Ndoa kwao ni Jambo dogo tena la kawaida sana/jepesi.

Ukishaleta mambo ya Dini na usomi kwenye ndoa umekwisha, labda dini ya kiislam ndio Dini makini katika mambo hayo. Lakini Ukristo umefeli vibaya Kwa sababu katika ndoa haupo Halisi Bali mawazo ya kipuuzi tuu.
Ukienda kama pale US makanisa yameshikwa na wamama ambao hawajawahi kulea watoto au familia na mume wake, na mabinti zao masingle mother ndio wamejaa humo makanisani.

Watoto wao wa kiume mashoga wanaingia makanisa hayo hayo na wao wanasema MUNGU habagui hivyo hapendi tukiwachukia mashoga wanawakaribisha wanasali nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu --->Dingi---->Maza--> Familia.
Luka Cha Kwanza kule au nenda kinyume.
Utalia km nyani maisha yako yote[emoji1787][emoji1787]
Nyumba haijengwi angani.

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]ila wewe
Kulia kama nyani ndio kupi huko
 
Pamoja na wabaya wengi lakini still bado wanawake wema wapo tele wamejaa ni kutoka tamaa ni kuendelea kutafuta tu, ukimpata anaejielewa ndoa huwa paradise
 
Ukienda kama pale US makanisa yameshikwa na wamama ambao hawajawahi kulea watoto au familia na mume wake, na mabinti zao masingle mother ndio wamejaa humo makanisani.

Watoto wao wa kiume mashoga wanaingia makanisa hayo hayo na wao wanasema MUNGU habagui hivyo hapendi tukiwachukia mashoga wanawakaribisha wanasali nao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Alafu kuna watu ati wanawaiga😂😂

Dunia haikosi wafuasi
 
Ndoa haijaribiwi kamwe
Sidhani kama wanaoachana walikuwa wanajaribu ndoa, walimaanisha.

Kuna jamaa ni tajiri sana huwa siku moja moja nakaa naye na hajaenda shule nimemfundisha English ya kuongea muda mrefu na alikuwa akisafiri ulaya anakwenda na mpambe lakini Sasa hivi anakwenda mwenyewe yuko vizuri anaungaunga, kwahiyo tunajuwana sana.

Imagine huyu mtu ni tajiri na namaanisha kwa maana ya tajiri kweli, lakini tukipiga story anasikitika sana nyumbani hakuna maelewano na Mke wake amemfungulia biashara zake binafsi mbunye anapewa Kwa mgao, hivi hapa shida ni nini?

Maana humu jukwaani watu huwa wanaambiana tafuta pesa, Sasa huyu tayari anazo za kutosha na biashara zake zimesimama mambo yake super, ni Kwa nini hizi pesa si lolote kwake?
 
Back
Top Bottom