Tanzania kuna tatizo very serious kuhusu hiki tunachokiita mahusiano hasa ya ndoa, tumekosea wapi? Nini kifanyike?

Tanzania kuna tatizo very serious kuhusu hiki tunachokiita mahusiano hasa ya ndoa, tumekosea wapi? Nini kifanyike?

Ndoa inawashinda watu waliacha mfumo Dume hiyo ndio Siri nakupa.

Jamii zote zinazofuata mfumo Dume Ndoa kwao ni Jambo dogo tena la kawaida sana/jepesi.

Ukishaleta mambo ya Dini na usomi kwenye ndoa umekwisha, labda dini ya kiislam ndio Dini makini katika mambo hayo. Lakini Ukristo umefeli vibaya Kwa sababu katika ndoa haupo Halisi Bali mawazo ya kipuuzi tuu.
Uislamu umefaulu kwa kuwanyima wanawake elimu ya jumla ya dini na zaidi huko mwanamke hana lolote ni kifaa cha ngono
Shetani hawezi kupambana na watu ambao tayari wapo katika himaya yake Kama unabisha jiulize ni kwa nini nini
 
Sidhani kama wanaoachana walikuwa wanajaribu ndoa, walimaanisha.

Kuna jamaa ni tajiri sana huwa siku moja moja nakaa naye na hajaenda shule nimemfundisha English ya kuongea muda mrefu na alikuwa akisafiri ulaya anakwenda na mpambe lakini Sasa hivi anakwenda mwenyewe yuko vizuri anaungaunga, kwahiyo tunajuwana sana.

Imagine huyu mtu ni tajiri na namaanisha kwa maana ya tajiri kweli, lakini tukipiga story anasikitika sana nyumbani hakuna maelewano na Mke wake amemfungulia biashara zake binafsi mbunye anapewa Kwa mgao, hivi hapa shida ni nini?

Maana humu jukwaani watu huwa wanaambiana tafuta pesa, Sasa huyu tayari anazo za kutosha na biashara zake zimesimama mambo yake super, ni Kwa nini hizi pesa si lolote kwake?
Kuna vitu huwa vigumu kuelewa Sana .... Vijana watamaliza kutafuta pesa watarudi watakutana na hizi K.O watakufa Kama kuku
 
Back
Top Bottom