Tanzania kuna tatizo very serious kuhusu hiki tunachokiita mahusiano hasa ya ndoa, tumekosea wapi? Nini kifanyike?


Unaongelea juu juu sana, Upagani uko katika kila fabric ya jamii ya Tanzania, na ndiyo maana kuzaa nje ya ndoa siyo ishu kwanza hata inakuwa promoted, watu ni full polygamy, ni jamii ya kipagani tu ndo ina promote kuzaa nje ya ndoa, …
 

Itakuaje wakati mama kashaenda kutambika na amepewa uchifu
 
Ndoa zimekua kama fashion,
Sikuhizi Watu hawaoani kwasababu ya upendo.

Wanaume tunao kwasababu mrembo ana chura, mwanamke anaolewa sababu umri umeenda,ana hela, jamaa Ni mrefu na mweusi

Matokeo yake Hakuna chemistry Kati ya wanandoa, Ndoa zimekua uwanja wa mapambano,mabishano na kutunishiana misuli.

Hasa Kama
wanandoa wote wanaingiza miambili miambili, inakua vile UTANAMBIA NINI
 
Kelsea unasemwa huku 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi wale masheikh au maustaadhi hana ajira yoyote rasmi na ana wake Wawili hadi watatu wazuri tu na hawachepuki na wote heshima na adabu, huwa wanatumia teknolojia gani hawa?

Wale wanawateka kisaikolojia wake zao.. wanawake wanaogopa kusomewa kisomo ama kutupiwa majini.. inabidi wawe wapole tu
 
Ahhhh democrasia ya ndoa imeua ndoa.rudi nyuma kidogo wazazi wetu.ukatili ulikuwepo.Siku hozi mwanamke anafanya anavyotaka.Wanaume tukiongea wanasema haki sawa.sasa unategemea nini.Lazima ndoa zitavunjika.Nini cha kufanya hakuna labda Yesu arudi
 
Watu hawatak adjustment kwenye ndoa, Kila mtu anataka alete Sheria badala ya kukubaliana, kingine expectation ndio zinaua ndoa mno, mtu kaingia ktk ndoa ameweka akilini Kuna hichi na hichi, mwisho wa siku havikuti ana Anza kumuona mwenzie mbaya na mwenza Naye ata react kutokana na anavyo onwa mbaya.
Mm nashaur ktk dini zote wafundishen vijana nn Maana ya ndoa.
Ndoa ni zaidi ya nakupenda,
Na wengi Wana oana Kwa mihemko, kama mmoja alivyo sema juu hips Yako mguu sura nzur, Sio vitu vibaya lakin je ni mtu sahihi, mtu akimuingiza ndan huyo mtu anakuta tofaut na alivyo mtarajia, na badala atafute nn Cha kufanya ugomvi unainuka,

Wengine u uhandsme una wapeleka ktk ndoa Sio vitu vibaya lakin je anakufaa?

Cha muhimu na muhimu, ppl zinamuacha Mungu kando, mambo yakiharibika ndio zinarud Kwa Mungu kuomba, kwann hukuomba Toka mwanzoni? Nina uhakika ndoa ambayo Ina baraka za Mungu hata shida ikija Mungu atawashikilia na mtapatana. Na zile ambazo Mungu kapewa tu taarifa kuwa nimepata mwenza hamuchukui siku maelewano hayapo cz Mungu hamkumshirikisha, kama Mungu hayupo shetan yupo kazin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…