Tanzania kuna tatizo very serious kuhusu hiki tunachokiita mahusiano hasa ya ndoa, tumekosea wapi? Nini kifanyike?


Ndoa inawashinda watu waliacha mfumo Dume hiyo ndio Siri nakupa.

Jamii zote zinazofuata mfumo Dume Ndoa kwao ni Jambo dogo tena la kawaida sana/jepesi.

Ukishaleta mambo ya Dini na usomi kwenye ndoa umekwisha, labda dini ya kiislam ndio Dini makini katika mambo hayo. Lakini Ukristo umefeli vibaya Kwa sababu katika ndoa haupo Halisi Bali mawazo ya kipuuzi tuu.
 
[emoji419][emoji419][emoji419]
 
Hivi ni kweli au !?
 
Hivi ni kweli au !?
Ni kweli tupu, Watanzania bila kuuteketeza ule mwenge na kuutupa MTO Kagera nchi hii imelaaniwa na iko chino ya shetani.

Nawashangaa hawa matapeli wanaojiita viongozi wa dini kutolikemea hili na wanalijuwa, wamelewa bahasha za kaki.

Waislamu ndio wanahusika na ushirikina huu wakiongozwa na Forojo Ganze wa kuikabidhi nchi yetu mikononi mwa shetani wakishirikiana na Nyerere.

Tumefanya makosa makubwa kuacha Sheikh Yahya Hussein mpaka anakufa bila kumuhoji wakati yeye alikuwa miongoni mwa wale washirikina waliokwenda Bagamoyo kuongea na shetani ndani ya mbuyu.

 
Wala hujui kuhusu mahusiano ya ndoa kwa akili fupi kama hii...kama watanzania wote fikra ziko hivi hata ndoa itavunjika asubuhi ya fungate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…