Tanzania kuna tatizo very serious kuhusu hiki tunachokiita mahusiano hasa ya ndoa, tumekosea wapi? Nini kifanyike?

Urahisi wa kuishi pamoja muda mrefu au mfupi pia unatokana na mlivyokua kabla hamjaoana.
Kwa kutumia mfano wangu mwenyewe, nilioa mwaka 92, na niliyemuoa familia zetu zilikua marafiki na wazazi wake nilikua nawapa heshima ileile niliyokua nawapa wazazi wangu, na mke wangu wakati huo alikua ananiita kaka, nilipofikia kuoa nilimposa yeye moja kwa moja na hatukuwahi kuwa na urafiki wa mapenzi na yeye, tulianzia hatua ya mke na mume, na namshukuru Mungu tuna miaka 30 sasa ya ndoa na naamini kifo ndio kitatutenganisha.
 
Aiseee 🤔
 
Umemaliza kila kitu..maisha ya kitamthilia yamewaathir sanaa hawa kina Ever..zile scrpt wanaona kama ni kwel
 
Wanawake hawana uwezo wa kutofautisha tamthilia na hali halisi thus kwenye tamthilia msanii akilia nao ulia
Nishawah kuona dada flan anatoa machoz kwa kuangalia hizi hiz tamthilia....hawa madairekta wana jukumu la kubadilisha maudhui ya tamthilia zao japo zibadilishe hii dhana kwa upande wa wanawake
 
Tatizo linaanzia kwenye malezi toka tukiwa wadogo. Je tunalelewa kuwa mme bora je wadada wanalelewa kuwa wake bora. Mke bora ni mwenye kujua nafasi yake na kuifanyia kazi na mme bora ni mwenye kujua nafasi yake na kuifanyia kazi.

Angalia malezi ya mtoto wa kisasa pata picha miaka 10 mbeleni kwa malezi hayo anaandaliwa mtu wa aina gani?... Askudanganye mtu eti uowe mwanamke mwenye Dini duh! Dini ya mwanamke?[emoji16][emoji16] Angalia mwenye malezi na ndo mana zamani hawakuwa na dini ila kwa msingi wa malezi yao mama zetu waliweza kuhimili NDOA.
 
Kwa sasa hv kote kote Hali ni hiyo hiyo TU Mkuu point ya msingi kuwa shetani amelenga sana sana watoto wa kizazi hiki na ndo mana Ili awapate watoto anavuruga kwanza ndoa Ili awapate watoto. Tusali sana wakuu Hali ni mbaya.
Halafu wanawake hiki kitu wanajifanya hawakioni kabisa. Yaani hawashituki. Inapofikia issue ya kufeli kwa ndoa na watoto kudhurika wao hoja zao ni za kibinafsi kuhusu wao tu wanawaza kile wanachokosa wao ila sio ambacho jamii inagharamika endapo mahusiano yakienda kombo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukienda kama pale US makanisa yameshikwa na wamama ambao hawajawahi kulea watoto au familia na mume wake, na mabinti zao masingle mother ndio wamejaa humo makanisani.

Watoto wao wa kiume mashoga wanaingia makanisa hayo hayo na wao wanasema MUNGU habagui hivyo hapendi tukiwachukia mashoga wanawakaribisha wanasali nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu --->Dingi---->Maza--> Familia.
Luka Cha Kwanza kule au nenda kinyume.
Utalia km nyani maisha yako yote[emoji1787][emoji1787]
Nyumba haijengwi angani.

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]ila wewe
Kulia kama nyani ndio kupi huko
 
Pamoja na wabaya wengi lakini still bado wanawake wema wapo tele wamejaa ni kutoka tamaa ni kuendelea kutafuta tu, ukimpata anaejielewa ndoa huwa paradise
 

Alafu kuna watu ati wanawaiga😂😂

Dunia haikosi wafuasi
 
Ndoa haijaribiwi kamwe
Sidhani kama wanaoachana walikuwa wanajaribu ndoa, walimaanisha.

Kuna jamaa ni tajiri sana huwa siku moja moja nakaa naye na hajaenda shule nimemfundisha English ya kuongea muda mrefu na alikuwa akisafiri ulaya anakwenda na mpambe lakini Sasa hivi anakwenda mwenyewe yuko vizuri anaungaunga, kwahiyo tunajuwana sana.

Imagine huyu mtu ni tajiri na namaanisha kwa maana ya tajiri kweli, lakini tukipiga story anasikitika sana nyumbani hakuna maelewano na Mke wake amemfungulia biashara zake binafsi mbunye anapewa Kwa mgao, hivi hapa shida ni nini?

Maana humu jukwaani watu huwa wanaambiana tafuta pesa, Sasa huyu tayari anazo za kutosha na biashara zake zimesimama mambo yake super, ni Kwa nini hizi pesa si lolote kwake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…