Sidhani kama wanaoachana walikuwa wanajaribu ndoa, walimaanisha.
Kuna jamaa ni tajiri sana huwa siku moja moja nakaa naye na hajaenda shule nimemfundisha English ya kuongea muda mrefu na alikuwa akisafiri ulaya anakwenda na mpambe lakini Sasa hivi anakwenda mwenyewe yuko vizuri anaungaunga, kwahiyo tunajuwana sana.
Imagine huyu mtu ni tajiri na namaanisha kwa maana ya tajiri kweli, lakini tukipiga story anasikitika sana nyumbani hakuna maelewano na Mke wake amemfungulia biashara zake binafsi mbunye anapewa Kwa mgao, hivi hapa shida ni nini?
Maana humu jukwaani watu huwa wanaambiana tafuta pesa, Sasa huyu tayari anazo za kutosha na biashara zake zimesimama mambo yake super, ni Kwa nini hizi pesa si lolote kwake?